Hotuba ya Kikwete inaashiria kutoamini mafanikio katika mabadiliko ya katiba CCM

CCM si tu ni chama mkuu, CCM ni chama chenye historia yake. Ni chama kilichokutana na changamoto kuliko na ni chama kilichofanya mabadiriko makubwa na siamini kwamba haya ya leo ni ya mwisho. Yapo mengi na yatazidi kufanyika as wazee (dawa) ya chama wapo
= mabadiliko
 
tanzania mpya kweli tena ya viwanda.ule mtaji mkuu wa viwanda....uhakiki umefikia wapi?
Viwanda vinavyofunguliwa kila ziara za Rais na vingine kuboreshwa huvioni?

Ukitaka maelezo zaidi pitia tovuti ya wizara ya viwanda.
 
Tuweke akiba ya maneno hapa. Baada ya 2020 au 2025 haya mabdiliko yatabadilishwa maana hayana tija. Mmoja anazungumza wasaliti mwingine ukata
 
feaa44b9e34ae3029dbf160b2fdf29c8.jpg
 
Wasiwasi wako tu ...chini ya Magu ...mambo yatakaa vyema
nadhani mwisho atabaki yeye na bulembo, kumbuka katibu mkuu amesha mwandaa yule msukuma aliye kua mshauri wake wa mambo ya siasa.

Nguvu ya ccm inatikana na taasisi zake, taasisi zikiharibika ndio mwisho wa chama,

Chadema itawatesa sana, kama bavicha tuu imesha wakimbiza uvccm
 
Back
Top Bottom