kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,699
- 804
Mkuu, nadhani unajua kumsoma vizuri ila tatizo lipo upande wa kuelewa.
Tafadhali soma Tena na Tena hotuba ya Lissu huenda swala la uelewa likaongezeka
yaani ccm itatawala miaka mia ijayo, aende mtaan akeseme huu upuzi kama ajapigwa mawe, sisi wanachi tunauwa waliotubia kuku, sembuse huyo aliyeiba mamiliion unayemtetea tutawachanganye naye,, hizo sheria katumie nyumbani kwako na mke wako sio utafune ela ya uma alafu useme tufuate utaratibu kukufukuza,