Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Labda ana maanisha Ni dada yake mloganzira maana zote NI za serikali.
Makumbusho kwa wale jamaa wa vioo vyeusi plate namba hazieleweki za nchi gani.
Haihusiani na yoyote hapo Mkuu. Yenyewe inajitegemea yenyewe kama yenyewe na wala hakuna nyingine. Iko ndani kabisa humo kwa wasiojulikana. Na usitegemee kutibiwa humo kama huusiki. Ila endapo ikatokea umo humo ndani na ukaumwa basi hawatokutupa utapata huduma ikibidi bure kabisa kama huna bima na kama huusiki kabisa maana Afya ya Mtu ndio kila kitu.
 
Zipo nyingine Mara sx 1383 hdd nk.
Plate Number zao nizakiraia kabisa,sema wewe unawafananisha na polisi,labda kama ungesema unakuta gari la zamani lakini number ni mpya,au gari mpya lakini number za zamani,mfano gari imeingia kwetu mwaka jana, lakini number yake ni A au gari imeingia miaka 5 iliyopita number yake ni D
 
Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena? Sijawahi isikia.

Ipo wapi
Nani mmiliki
Ubora ukoje

Yaani hii hospital itatujazia server mwaka huu. Leo tu imeshafunguliwa NYUZI kibao, kisha marehemu, binti wa Taifa kakomea hapo.

Ndo maana hatuendelei
 
Back
Top Bottom