Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,691
Leo Tarehe 20-09-2024
NDUGU Godbless Lema
Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania
Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu.
Sisi sote ni NDUGU hii ni kauli ya msingi wa Taifa la Tanzania naomba sana viongozi wa vyama vyote, taasisi zote, na madhehebu yote na Kila aina ya dini.
Kauli mbiu msingi ya Taifa hili la Tanzania sisi sote ni NDUGU.
Subra, kuvumiliana, kupendana, kukosoana, kutofautiana, uwepo wa busara, hekima na mengineyo yaliyo muhimu katika kuishi tunu ya UNDUGU ni muhimu sana.
Kwa namna yoyote ile nguzo na msingi wa wantanzania ni kauli mbiu ya upendo, utu na ubinadamu Sisi sote ni NDUGU
Mungu ampe maisha marefu NDUGU Godbless Lema.
Umenena kwa kujinyenyekeza mbele ya mwenyezi Mungu na Mungu akubariki sana Mangi.
Asanteni NDUGU zangu wote mliobariikiwa kusoma ujumbe huu.