uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,239
Kwani ametoa hela zake mfukoni?
Sema hongera kwa serikali na wananchi tunaolipa kodi!
kwahiyo na mbuge wa kigamboni ajigambe amewaletea daraja wanakigamboni?
nilichopinga nini? au kusema mwakyembe hajatoa hela zake mfukoni?nawewe naye unajiita mpinzani!?.....maaana wengine nyie ni kupinga tuu.
Elimu elimu elumu elimu elimu ndo tatizo kwakoAmesimamia vizuri kodi yetu
Pole kwa kukosa elimu!!Hongera mheshimiwa
nilichopinga nini? au kusema mwakyembe hajatoa hela zake mfukoni?
sijafundishwa kupiga makofi kila kitu kama wewe
ndio hicho ambacho hata huko mnakopiga makofi tu ndio mnacho!ushawai kuona mbunge gani kwenye project kubwa kama hizo katoa hela zake mfukoni? yeye alichofanya ni kupigania hizo meli kupatikana na ndio wananchi wamewakilishwa na mbunge wao..unacho fanya wewe ni kuto kuappriciate the force and power aliyo employ mbunge.
Nawewe kazi yako ni kupongeza tuuu,kasome mkuu elimu haina mwisho,si kila apingae ni upinzani shtuka elimu uliyoikosa ina kugharimu sasa!!!
hata miye naona Nchi 3 tu kwenye ramani zinazozunguka Ziwa Nyasa. Hizo nyingine 2 zi WAPI?Hizo nchi tano zinatoka wapi?
Hata elimu ya Geografia sifuri kabisa.
Ni nchi tatu tu ambazo ni Tanzania, Malawi na Msumbiji.
Katika nchi tano zilizotajwa Mozambique haimo...
Wakuu I am at loss, huyu Ag Port Manager wa Itungi owes us a detailed explanation.
I see 3 countries!!
Kina Bashite wako wengi!Katika nchi tano zilizotajwa Mozambique haimo...
Halafu nashangaa DRC na Zambia zinaingiaje? lakini kichekesho kikubwa zaidi ni kuiingiza Africa kusini.. Nchi imejaa vilaza hii!!?
Ameweka Zambia, DRC na South Africa! Huo ni wendawazimu.Hizo nchi tano zinatoka wapi?
Hata elimu ya Geografia sifuri kabisa.
Ni nchi tatu tu ambazo ni Tanzania, Malawi na Msumbiji.
Usimamizi uko safi, wewe unafikiri wangepewa wale jamaa Wanaopenda kulalamikatu nadhani hizo meli zinfesusiwatu tena wakati wamwanzo wa utengezaji maana jamaa kwakususa ni noma yaaani huwa nahisi pengine hata kunako be. d huwa wanasusia.Kwani ametoa hela zake mfukoni?
Sema hongera kwa serikali na wananchi tunaolipa kodi!
kwahiyo na mbuge wa kigamboni ajigambe amewaletea daraja wanakigamboni?
Nyinyi wenye elimu mbona mnaongozwa na DJ kwa miaka 13 sasa?. Nyinyi wenye elimu mnakubali vipi Prof Baregu na Prof Safari waongozwe na mtu wa form six?. Hamjioni wajinga?.Pole kwa kukosa elimu!!
Una akili za kichadema ndio maana ni rahisi kuunganishwa katika kundi hilo hilo.Zombi wewe nani kakwambia mimi chadema???