Hongera Mwakyembe: Nchi tano kuunganishwa na meli mpya Kyela

nilichopinga nini? au kusema mwakyembe hajatoa hela zake mfukoni?
sijafundishwa kupiga makofi kila kitu kama wewe

ushawai kuona mbunge gani kwenye project kubwa kama hizo katoa hela zake mfukoni? yeye alichofanya ni kupigania hizo meli kupatikana na ndio wananchi wamewakilishwa na mbunge wao..unacho fanya wewe ni kuto kuappriciate the force and power aliyo employ mbunge.
 
ushawai kuona mbunge gani kwenye project kubwa kama hizo katoa hela zake mfukoni? yeye alichofanya ni kupigania hizo meli kupatikana na ndio wananchi wamewakilishwa na mbunge wao..unacho fanya wewe ni kuto kuappriciate the force and power aliyo employ mbunge.
ndio hicho ambacho hata huko mnakopiga makofi tu ndio mnacho!
Hayo ndio Gambo alimfanyia Lema!
 
Nawewe kazi yako ni kupongeza tuuu,kasome mkuu elimu haina mwisho,si kila apingae ni upinzani shtuka elimu uliyoikosa ina kugharimu sasa!!!

Hapo ndio mwisho wako wakufikiria?? ebu rudia kusoma huo upupu uliouandika, then uone mimi na wewe nani anatakiwa kurudi shule.nyie ndio wale mkiona mtiani unamaswali mepesi hamsomi instruction...kwenye ans only two qns mnajibu yote matano.
 
Hizo nchi tano zinatoka wapi?
Hata elimu ya Geografia sifuri kabisa.

Ni nchi tatu tu ambazo ni Tanzania, Malawi na Msumbiji.
hata miye naona Nchi 3 tu kwenye ramani zinazozunguka Ziwa Nyasa. Hizo nyingine 2 zi WAPI?
 
Mleta mada naomba tufafanulie/ Meli iloamza kazi ni ya Bandiko namba 1 ama namba 7? Hii ya bandiko namba 7 ni Meli ama Pantoni?
 
169550-004-B2292C66.jpg


Wakuu I am at loss, huyu Ag Port Manager wa Itungi owes us a detailed explanation.
I see 3 countries!!
Katika nchi tano zilizotajwa Mozambique haimo...
Halafu nashangaa DRC na Zambia zinaingiaje? lakini kichekesho kikubwa zaidi ni kuiingiza Africa kusini.. Nchi imejaa vilaza hii!!?
 
Sasa hapo yeye kafanya kazi gani..kwani yey ni wazir wa uchukuzi..mm sion mchango wake hata kwa kyela zaid zaid nikupiga makelele tuu
 
A
Hizo nchi tano zinatoka wapi?
Hata elimu ya Geografia sifuri kabisa.

Ni nchi tatu tu ambazo ni Tanzania, Malawi na Msumbiji.
Ameweka Zambia, DRC na South Africa! Huo ni wendawazimu.
Nchi hizo tatu zilizotajwa zinafaidikaje na meli zilizo ndani ya Ziwa Nyasa? Cha ajabu hata Msumbiji naona haikutajwa kabisa.
Au kwa kuwa Jiografia nilisoma enzi za Nyerere na Mwinyi ndio maana siyajui haya mabadiliko yaliyotokea?


NB: Ziwa lenyewe wamalawi wanatupiga nalo mkwara kila kukicha, wasije kujitaifishia hizo meli zetu "mwanana"
 
Kwani ametoa hela zake mfukoni?
Sema hongera kwa serikali na wananchi tunaolipa kodi!
kwahiyo na mbuge wa kigamboni ajigambe amewaletea daraja wanakigamboni?
Usimamizi uko safi, wewe unafikiri wangepewa wale jamaa Wanaopenda kulalamikatu nadhani hizo meli zinfesusiwatu tena wakati wamwanzo wa utengezaji maana jamaa kwakususa ni noma yaaani huwa nahisi pengine hata kunako be. d huwa wanasusia.
 
Tanzania Ports Authority inafanya biashara ya kusafirisha abiria na mizigo.
 
Back
Top Bottom