Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Mkuu hapo mimi sitii neno maana naona unamsema kiongozi wako gizani
 
Mkuu hapo mimi sitii neno maana naona unamsema kiongozi wako gizani
Mkuu, ila mlikosea sana kumteua Lowasa kuwa Mgombea Urais. CCM tulijua kuwa Lowasa hatoshi nafasi ya Urais. Tukamtosa. Ninyi mkamkumbatia matokeo yake mmeanza kuweweseka japo mnajifariji ushindi wa meya wa Ilala na Kinondoni
 
Kumbe unainamishwa siyo?
Sasa Mkuu mbona wewe ndo umeanza kuporomosha matusi? I nini tena unaandika? Endelea ule utamaduni wa kuchangia kwa hoja? Matusi hayajengi na wala si kawaida yako? Tupambane kwa hoja na si matusi. Mtu akikutukana humu wewe sema tu Inshaallah
 
Mkuu, ila mlikosea sana kumteua Lowasa kuwa Mgombea Urais. CCM tulijua kuwa Lowasa hatoshi nafasi ya Urais. Tukamtosa. Ninyi mkamkumbatia matokeo yake mmeanza kuweweseka japo mnajifariji ushindi wa meya wa Ilala na Kinondoni
Mkuu kwa mtu mwenye akili ya kawaida kabisa mwenye kujua hesabu za kutoa na kujumlisha atajua nini lowasa ameisaidia sana cdm,kutoka kura 2.4 za slaa hadi kra 6.98
 
Sasa Mkuu mbona wewe ndo umeanza kuporomosha matusi? I nini tena unaandika? Endelea ule utamaduni wa kuchangia kwa hoja? Matusi hayajengi na wala si kawaida yako? Tupambane kwa hoja na si matusi. Mtu akikutukana humu wewe sema tu Inshaallah
Inshahllah
 
Mkuu kwa mtu mwenye akili ya kawaida kabisa mwenye kujua hesabu za kutoa na kujumlisha atajua nini lowasa ameisaidia sana cdm,kutoka kura 2.4 za slaa hadi kra 6.98
Kwani lengo la Lowasa lilikuwa kuongeza idadi ya kura ama kuiondoa CCM madarakani? Je lengo limetimia?
 
Wasengerema kama nyinyi hamnisumbui,lete hiyo ligi yako lofa mkubwa we
Kawaida ya ngiri warudipo mashimoni jioni huwa wakali lkn kwa kipindi cha mvua kama huwa wanatulia,nawe utatulia
 
Zimba jana aliongea na mameya na manaibu meya akawaachia maagizo magumu alafu baada ya muda akaonekana ubalozi wa Japan kwenye tukio la serikali ya Japan kutoa misaada kwa serikali na taasisi mbalimbali.

Swala la silent ya Lowasa inajieleza hapa chini kwenye signature yangu.
 
=UPITOSHWAJI= Kweli wewe nyumbu ndio unatoka mtoni umenusulika kupigwa jino la mamba
Masahihisho sambamba na ONYO: Nyumbu ni jina lingine la mwana-UKAWA yeyote yule ikiwemo wewe. Kumuita mtu asiye mwana-UKAWA 'Nyumbu' ni kosa na adhabu yake ni kupigwa BAN ya kutoingia JF kwa mwezi mzima. Jifunze kuheshimu kanuni, taratibu na sheria.
 
Huwa namshangaa sana huyu jamaa, huwa anaandika pumba kisha anawataja nyumbu, bila kujua yeye ndo nyumbu! Yaani kwa ufupi huwa anajitusi yeye na kundi lake.
 
Hazina utata ni uwezo wako wakufikiri ni mdogo.
 
Mie niulize kuhusu tende,halua na ghahawa lakini juice ya miwa hapana maana sijui namna ya kuitengeneza
Jibu swali kijana wacha papala,unaonekana una haraka sana au ndio muda wa kwenda kuanza kupara miwa ya juice kwa ajili ya matumizi ya kesho ya watoto wa shule
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…