Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
- Thread starter
- #21
Mkuu hapo mimi sitii neno maana naona unamsema kiongozi wako gizaniKwani Lowasa kakaa kimya ama kaishiwa na hoja? Mbona kila tukio linapotokea haachi kujitokeza kwenye media? Kaanza mara ooooh wafanyabiashara waliounga mkono UKAWA wananyanyaswa na serikali; akaja na ngonjera nyingine eti wabunge mizigo wa ukawa watashughulikiwa. Akaja tena na hoja ya kupinga bomoa bomoa. Almradi anafanya siasa za matukio