Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,512
- 123,413
Nilikuwa najiuliza sana kwanini JK alisema hajui kwanini nchi yake ni masikini. Majibu yameanza kupatikana na moja ya jibu ni hili la huyu mmama maana si kijana, tena naamin haijui Tanzania vizuri na sidhani kama alisoma zile shule zetu za kuwahi namba ukiwa na kidumu cha maji na ufagio na mwendo wa kukopa visheti kwa walimu
Wewe unajua kwa nini Tanzania ni maskini?