sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Ni tarehe 26/08/2022
Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa masilai Yao awe makini.
Lazima nikili yakuwa uteuzi wa Huyu kijana kuwa mkurugenzi wa CRDB ulinishagaza sana ulinifanya nijiulize Huyu ni kijana wa namna gani kupata shavu kubwa kiasi hiki? Uteuzi ule ulinifanya nitenge muda wangu kumchunguza na kumjua na kiukweli lazima nikili yakuwa baada yabuchunguzi wangu nilibaini yakuwa hakuwa kijana mwepesi alikuwa miongoni mwa vijana wazito wazito kielimu, na kiuelewa dhidi ya masuala ya utwala lazima nikili ni kichwa,ni mzalendo, Hana makuu ni mshikaji kama washikaji wengine.
Tarehe ya leo nikaona pia Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua mtu Huyu na kumwingiZa kwenye Tume ya Maendeleo ya Ushirika kama Mwenyekiti wa Cammision hiyo HAKIKA NIMESHUTUKA SANA.
Baada ya mshutuko nikajiwa na majibu Kwa Nini kateuliwa hapo? Kwanza ni uwezo wake, kielimu, kiutawala, lakini sifa kubwa zaidi, ni Kwa sbabu Benki ya CRDB ni miongoni mwa Benki ambazo baba mzazi wa Benki hizo ni vyama vya ushirika. Kwa maana ndivyo vilivyosaidia kuhakikisha inafika hapo iliko je pamoja na kuwa zao la vyama vya ushirika imeviacha vyama vilivyoizaa benki hiyo ikiwa salama?
Ukiuliza swali la namna hii lazima popote alipo Dr Kimei ashutuke na apandwe na Presha anajua kabisa ni Kwa kiasi gani akiwa mkurugenzi wa Benki hiyo alitumia nafasi yake VIBAYA kuua vyama vya ushirika na Benki za kiushirika kwa kuingiza mabilioni ya fedha kwenye vyama hivyo paspo kufata taratibu,
Nitaeleza kidgo kwa mifano. Mfano mabilioni ya Kikwete yalipitoa benki ya Crdb na kuingiWa kwa vyama vya ushirika Kwa shariti moja kwanza vyama kuweka moja ya tatu ya mkopo unao ombwa,hapa Kila chama kama kilitaka milioni 800m kilitakiwa kuweka moja ya tatu, na kilipata udhamini waasilimia 50/%kutoka taasisi iliyojulikana kutoka PASS Nina Imani hii taasisi ipo mpk Leo Ili chama kipate udhamini wa Pass kilitakiwa kuwa na Sifa,sio tu sifa pia Kuna MAZINGIRA yasiyomazuri yalitumika mpaka chama kipate dhamana hiyo kwa kifupi Kuna pesa asilimia kubwa badala ya kukopeshwa kwa vyama ilikuwa inawekwa kwa PASS ila haikuwa very official ilikuwa ni kichaka fulani Cha rushwa.
Kuna vyama vingi vmekufa baada ya kukopeshwa mabiloni Yale Kuna benki zimekufa baada ya kukopeshwa mabilioni Yale,kuja vyama vingi nchi hii, Dr Kimei na genge lake aliro kuwa ameliunda limeumeaua vyama kwa kuvikopesha mikopo hewa, kuna vyama vinamadeni makubwa SI kwa sababu wizi mkubwa ulifanywa na watendaji wasio waaminifu waliokuwa na Kimei henzi hizo.
Kwanini nimesikitika?
Miaka kadhaa iliyopita Waziri mkuu,aliyepo Tunisia kumwakilisha Raisi wetu alimshawishi Raisi mwendazake(apukuzike mahali pema peponi na Nampa pole Kwa kudanganywa),amteue mama mmoja aliyekuwa meneja wa. benki ya Kilimanjaro cooperative Benki awe miongoni mwa makamishinabwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, na aliteuliwa yule mama,wakati anateuliwa sisi Wana wa leo tulihoji Kwa Nini Magufuli Sasa ni marehemu alimteua,mtu aliyepelekwa Benki hiyo ya ushirika mkoa wa Kilimanjaro KUFA. Kuwa kamishena?jibu lilirokuja ni kuwa yule mama alikuwa shoga Ake kidawa na Waziri mkuu ambae Sasa Kwa Leo yupo Tunisia.
Kwanini nimesema kijana wetu kaingizwa kwenye ukumbi wa wachawi?
Kati ya pahala panapo vuma kwa uchawinni wizara ya kilimo. Wizara hii inachangamoto nyingi ila kubwa kuliko ni wale watumishi wenye sida na weredi hawapewi nafasi ya kulitmikia Taifa na wakulima, wasio na Sifa na weredi ndio wanao pewa nafasi kwa masilai ya wakubwa.
Yaani usione tabu mfano Kila mrajisi aliyepo kwenye mkoa anakuwa na team yake ambayo Iko kwa masilai yake na team hiyo usishangae Haina sifa stahiki. Ni mfano tu huu!ila waweza kuwa kweli mrajisi ana wake wa Tume na mkurugenzi ana wake wa halimashauri ingawa wote wapo ofisi moja, matokeoya Ili ni UCHAWI, wanalogana mpaka wanakoma.
Ndugu yangu kijana mwenzangu nikusuhiii wizara ya kilimo na hata Tume ya Maendeleo ya Ushirika,waliopo SI Wana wema hapo Kila commission ana wake wewe usiwe na wako ulichokifanya Crdb kifanye na Tume Ili ukomeehe wabeba irizi.