Holiday season is a cheating season

Mr the dragon

JF-Expert Member
Apr 14, 2017
1,937
3,719
Jana nikiwa nimetulia home kuna sister mmoja jirani yetu alinipigia simu mida ya tano.Nilivyoenda akawa anaongea vitu sivielewi hanyooshi vizuri maelezo nikamsoma psychologically anataka company yangu ukizingatia mmewe ni hustler hatulii home Mara nyingi na mkewe jamaa anakua mbali kusaka pesa.Sitaki nimalizie nini kiliendelea huko nigonge kwenye point......

Misimu hii ya sikukuu hasahasa za kufungia mwaka sio salama kabisa kwenye ndoa na mahusiano kwa sababu huwa kuna usaliti mwingi sana.

Wanawake na wanaume ambao wapo na upweke kutokana na wenzi wao kuwa mbali,Au ambao hawafurahii mahusiano yao siku kama hizi huwa wanacheat sana.Sababu huwa wana struggle waweze kufit kwenye majority psychology kwamba siku hiyo ni ya furaha na ili kutimiza hilo kucheat huwa ndio the last option.

Vilevile sherehe hizi zimetawaliwa na fujo sana kama pombe nyingi kupita kiasi,kucheza miziki mambo mengine ambayo yanachochea kucheat pia.

Brothers and sisters kuweni makini sana na hizi holiday season la sivyo wanjanja watapita na tunda lako.

My Independent reseach.Happy holidays to you all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom