Holiday INN Hatunayo tena

Kuna wakati Prof. Maghembe alipokuwa waziri wa utalii aliulizwa kuhusu hili suala la utaratibu wa tax holidays na mapungufu yake; nakumbuka alikataa katakata akasema hakuna kitu kama hicho Tanzania ya leo. When confronted with Sheraton as a case in point, he still didn't budge, he maintained that no tax breaks were offered to the "new" owners.
 
Kama information zako ni za kweli ninashukuru kwa ufafanuzi!
Mkuu siyo tu kwamba information zake ni za kweli bali ni Logical vilevile.Haya majina kama:Sheraton,Holiday Inn,Hilton ni Registered Trade Names,na nnaelekea kufikiri licha ya Kulipia matumizi ya Majina haya katika Biashara husika,ni LAZIMA pia ku-meet,maintain the spleandid Services offered by the likes of the Trade names available around the World.
Sasa kwa hapo nyumbani naona Mambo bado ni Magumu kidogo,Ndiyo maana tunaona Mahoteli yakianzishwa kwa Kupachikwa Majina makubwaX2 hayo,halafu baada ya Miezi kadhaa yanabadilika.
 
Inabidi wananchi tuamke. Kama viongozi wetu wakishindwa kusikia maneno yetu basi tuwaonyeshe uchungu weti kwa vitendo. Hakuna faida ya kukaa kimya ilihali tunaumia.!!!!
 
Hivyo tutakuwa tunaendelea kudanganywa kila wakati? Au kuna mkono wa mafisadi humo?
 
Mpaka mwezi January 2008 nilipokuwa bongo, nilishuhudia Embassy Hotel ikiwa bado haitumiki. Hivi kuna mtu anaweza kutueleza ni kwa nini jengo kama lile katikati ya jiji limefungwa kwa muda mrefu vile? Nafikiri nchi inapata hasara sana. Basi lingetumika kama student hostel wa IFM, unless liko hatarini kudondoka!

Embassy hotel imefungwa kwanini? na je, kuna mpango wowote wa kuifungua?
 
Back
Top Bottom