Hoja: Kama mashirika ya Umma yanapata hasara kuna haja gani ya Kuacha yajiendeshe yenyewe?

Sasa sisi waafrika akili yetu ndogo sana hatuwezi kuendesha mashika ya umma.labda tukodi wazungu waje watuongozee.sisi ushabiki simba na Yanga ndio tunaweza.
 
Na yale tuliyouza au kuyagawa kama njugu yanatunufaisha vipi ? Au mengine yamegeuzwa kuwa karakana na kuombewa mikopo ya kunufaisha wachache ?

Dawa ya kuendeshwa kwa hasara sio kugawa Hisa / Kampuni bali ni kuhakikisha wanawekwa watu capable kuyaendesha na kuwa answerable....
 
Back
Top Bottom