Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,570
- 23,224
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba.
Mimi nilikua naushauri Sheria ya uendeshaji wa mashirika ya umma ingebadilishwa (kama ipo) haya mashirika yakasimamiwa na serikali moja kwa moja au tuyaendeshe kwa ubia kati ya serikali na makampuni binafsi kuliko hivi sasa ambapo inaonesha yanajiendesha kwa hasara kubwa. Tusisahau kuwa serikali inatoa fedha za ruzuku kwajili ya mashirika haya ambayo hayafanyi vizuri.
Karibuni tutoe maoni watanzania labda serikali inaweza kuokota mawili au matatu miongoni mwetu.