Hodi mpaka ndani

sipnah

Member
Mar 22, 2016
24
50
Naitwa sipna. Msichana, umri 25. Naishi dar es salaam. Nimefurahi kujiunga na familia hii ya JF. Asanteni Sana.
 
Karibu sana jf kituo cha maraha. Humu kuna vibabu kama akina sisi, vibibi, vijana wenzako, kiufupi tu karibu kwenye ulimwengu wa watu wa kila aina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…