Hello Guys! Habari gani great thinkers!? Mi mgeni mwenyeji humu toka 2013 leo najitambulisha rasmi kwa forums zote.. Hope mwenye daftari la mahudhurio anatambua uwepo wangu rasmi... Pia naomba anaweza kuniweka active kwa forum ya dini/imani anipe tips. Ahsanteh!
Yaani hata huo ugeni wako sijauona maana nimeingia kwenye profile yako umeanzisha thread nyingi sana sana. huna ugeni wowote, na kujitambulisha hapa sio lazima. wewe upo tu siku zote Kidnap huna sababu ya kujitambulisha