Gobegobe JF-Expert Member Nov 23, 2010 244 23 Nov 23, 2010 #1 Heshima kwenu wanajf. Nimeamua niungane nanyi katika jukwaa hili, ili pamoja na kujifunza kutoka kwenu, nami nipate fursa ya kushiriki kikamilifu katika mijadala inayoendeshwa ndani ya jf. Nawashukuru sana.
Heshima kwenu wanajf. Nimeamua niungane nanyi katika jukwaa hili, ili pamoja na kujifunza kutoka kwenu, nami nipate fursa ya kushiriki kikamilifu katika mijadala inayoendeshwa ndani ya jf. Nawashukuru sana.
Azimio Jipya JF-Expert Member Nov 27, 2007 3,362 1,131 Nov 23, 2010 #2 .... Karibu ... mbona umechelewa hivi kujiunga hapa!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,994 12,771 Nov 23, 2010 #3 Karibu sana....muhimu zingatia sheria na kanuni zetu!