Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

Woiiiiii!! Dear hii Delmare unayo? Nimeitafutaa sanaa, nilienda hadi mikocheni kuna duka, wakasema hazipoo.

Yaan nimepata goosebumps!!
Nichek inbox nipo Dubai nakutumia Tu unachukua Dukani kwangu Kariakoo
 
All in all.. perfume inategemea na ww mwili wako unatoa jasho la aina gani.. mie naweza kupulizia kitu ikanikataa ila mwingine ikaw imempenda ina match na aura yake..

Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
 
Habari wakuu...

Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...

Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...

Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Zipo ambazo zinadumu ila za kubahatisha pia nyingi wanazichakachua sana na harufu huwaga pale mwanzoni tu unapoanza zitumia lakini kadri inavyozidi pungua hata harufu huwezi isikia tena
 
Zipo ambazo zinadumu ila za kubahatisha pia nyingi wanazichakachua sana na harufu huwaga pale mwanzoni tu unapoanza zitumia lakini kadri inavyozidi pungua hata harufu huwezi isikia tena
Hii ya kutohis harufu nadhan ni kwa pafyum zote mf.naonaga nkitumia baada ya wiki kadhaa mimi nakua sihisi ila mwingine anahis harufu
 
Mtoa mada kunukia ni expensive..

Kuna fala mmoja juz hapa kakutana na mm nikampakia ktk fupa/shipa/gari yangu.

Sasa akaaanza habar zake za kimaskini mara ooh perfume yako kali.. inanibana mapafuu sijui kimekwenda kimerudi.


Ikabid nipaki chuma pembeni kumsikiliza.. ananuka kijasho cha kimaskini hapo hapo nikamwambia kwamba nina safari nyingine town kama yupo capable kwend ni sawa otherwise ashuke.

Maskini na maswala ya kunukia ni mbingu na ardhi.
 
Embu recommend me, the best male perfume currently, thanks in advance.
Nenda kwenye duka la Albait Aldimashqi Perfume ni za kutoka UAE. GSM mall unazipata hizo mzee. Zinanukia vizuri. Ndizo perfume ninazotumia.

Bei zake ni kwa madaraja yote ya vipato. Kuanzia kipato cha chini, cha kati mpaka cha juu.

Kipato cha chini ni kuanzia 30k mpaka 40k mpaka 50k na 60k mpaka 70k zipo. Kuna kipindi nilipita kwa haraka haraka Mlimani City kama nililiona duka lake ila sina uhakika sana.

Wana perfumes za aina tofauti tofauti hivyo itabaki kuwa ni uchaguzi wako. Kama unajihisi unaweza ukatatazika na perfume ipi kwako itakuwa nzuri zaidi, nenda na mwanamke wako atakusaidia na hatokuangusha.
 
Back
Top Bottom