Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify hap hapa TZ

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,310
Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify

1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M
3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M
4. Mbosso – Definition Of Love (2021) 2.9M
5. Vanessa Mdee – Money Mondays (2018) 2.6M
6. Jux - The Love Album (2020) 2.2M
7. Nandy –African Princess (2018) – 1.3M
8. Zuchu –I am Zuchu (2020) – 1.15M
9. Harmonize – AfroEast (2020) – 1.12
10. Rayvanny – Flowers EP (2020) 1.11M

NB:Tanzania Spotify wanalipa Streaming Million 1 kwa $7000

Cc #chartdata
 
Kama hivi inabidi wa Tz wengi washawishiwe kutumia Spotify na Apple music maana tz tupo wengi sana sema watumiaji wa streaming services wenye subscription ni wachache.
Tuukiwa watumiaji wengi tutaboost wasanii wetu
 
Ofcoz ila wabongo wengi ndo DJ MWANGA free of charge kutumia payment service ni ngumu sana
 
Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify

1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M
3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M
4. Mbosso – Definition Of Love (2021) 2.9M
5. Vanessa Mdee – Money Mondays (2018) 2.6M
6. Jux - The Love Album (2020) 2.2M
7. Nandy –African Princess (2018) – 1.3M
8. Zuchu –I am Zuchu (2020) – 1.15M
9. Harmonize – AfroEast (2020) – 1.12
10. Rayvanny – Flowers EP (2020) 1.11M

NB:Tanzania Spotify wanalipa Streaming Million 1 kwa $7000

Cc #chartdata
Wabongo wamejazana boomplay tu
 
Kama hivi inabidi wa Tz wengi washawishiwe kutumia Spotify na Apple music maana tz tupo wengi sana sema watumiaji wa streaming services wenye subscription ni wachache.
Tuukiwa watumiaji wengi tutaboost wasanii wetu

Yani hii ndo trick...ni kuungana kama nigerians....TZ artist should promote spotify,,koz ndo yenye hela...Wasafi ilibidi iweke nguvu kubwa kui promote spotify tz,,koz ndo yenye mchongo
 
Spotify inalipa wastaniwa 0.004$ per stream i.e(0.003$ up to 0.005$) per stream
 
Back
Top Bottom