Hizi ndio sababu kubwa kuliko zote za Magufuli kuchukia haya magazeti

Negative comments zikijengewa hoja huweza kugeuka kuwa positive comments. Vinginevyo ni mlolongo wa kejeli wenye kufanana na zile za mtaani.
Kama ulivyo na haki ya kuniambia chochote, mimi pia ninayo ya kumshauri mleta mada.
Kamshauri mumeo wako kwanza ndio uje kwa mleta mada
 
LAZIMA UTAYACHUKIA MAGAZETI TU.

1.Sukari imekushinda.

2.Mikopo elimu ya juu imekushinda.

3.Kuhamia Dodoma kumekushinda.

4.Nyongeza ya Mishahara imekushinda

5.Mgogoro wa Zanzibar umekushinda.

6.Siku ya usafi imekushinda.

7.Mahakama ya mafisadi imekushinda.

8.Ajira mpya zimekushinda.

9. Kutokubagua vyama vya siasa kumekushinda.

10. Katiba mpya imekushinda.

11. Kumkamata Lowasa na kuthibitisha kuwa ni fisadi kumfunga aliyedaiwa na chama chako kuwa ni fisadi kumekishinda.

12. Mafisadi wa awamu ya pili,tatu,na nne wamekushinda.

13. Ulipokuwa bukoba ulisema na kuchomelea makarai ni kiwanda.

14. Kugawa milioni 50 kila kijiji kumekushinda.

15. Mbaya kuliko zote ni kuwa mtu wa wanyonge kumekushinda.

....huko Shinyanga washapewa vidonge vyao,,debe moja la mahindi kwa ng,ombe watatu.

Endeleeni kufyatua watoto tu watasoma bure

Kagera wamechakachukiwa rambi rambi zao na kutakiwa wabebe mzigo wa uliotokana na janga la tetemeko la ardhi.
1. Kutengeneza madawati kumemshinda.
2.elimu bure imemshinda
3. kuhuisha shirika la ndege kwa kununua ndege mpya kumemshinda, mpaka leo hajanunua hata moja.
4.kuondoa watumishi hewa kumemshinda
5.kukusanya mapato kumemshinda
6.kubana matumizi ya serikali yasiyo na tija kumemshinda.. mpaka saiv keshasafiri kwenda inch za ulaya mara 30.. na msafara mkuuuubwa usio na tija.
7.kutumbua wabadhilifu serikalini kumeshinda.. mpaka leo wanaendelea kutumbua tu makazini.
 
When a BlackMan gets to the top, he kicks away the ladder, so that no one else gets to the top.That's why he falls so hard - Trevor Noah
 
LAZIMA UTAYACHUKIA MAGAZETI TU.

1.Sukari imekushinda.

2.Mikopo elimu ya juu imekushinda.

3.Kuhamia Dodoma kumekushinda.

4.Nyongeza ya Mishahara imekushinda

5.Mgogoro wa Zanzibar umekushinda.

6.Siku ya usafi imekushinda.

7.Mahakama ya mafisadi imekushinda.

8.Ajira mpya zimekushinda.

9. Kutokubagua vyama vya siasa kumekushinda.

10. Katiba mpya imekushinda.

11. Kumkamata Lowasa na kuthibitisha kuwa ni fisadi kumfunga aliyedaiwa na chama chako kuwa ni fisadi kumekishinda.

12. Mafisadi wa awamu ya pili,tatu,na nne wamekushinda.

13. Ulipokuwa bukoba ulisema na kuchomelea makarai ni kiwanda.

14. Kugawa milioni 50 kila kijiji kumekushinda.

15. Mbaya kuliko zote ni kuwa mtu wa wanyonge kumekushinda.

....huko Shinyanga washapewa vidonge vyao,,debe moja la mahindi kwa ng,ombe watatu.

Endeleeni kufyatua watoto tu watasoma bure

Kagera wamechakachukiwa rambi rambi zao na kutakiwa wabebe mzigo wa uliotokana na janga la tetemeko la ardhi.
Kijana! Kijana! Acha bangi tafadhali!
 
Jamani kubwa tumuombee raisi wetu ili aweze kuongoza hii Nchi, tumwombee hekima, busara na maarifa kama alivyoomba Mfalme Suleman ili aweze kuwatawala watu wake.
Huyu sio wa kuombewa, toka kaanza kuombewa mbona anazidi kutoka kwenye njia?
Waambie wana Kagera wamuombee
 
Nauliza ..hivi kesi ya mwenzetu mello iliishiaje ?
Humu kuna watu wanayachokonoa kusudi ....
 
-Kutokujua kwamba kutajataja udhehebu ni uchochezi uliokwenda mbali zaid ya udini.

-Kutajataja kanda ya kaskazini ni ubaguzi kuliko anachodhani anapigana nacho.
 
Wale wale wenye kutanguliza akili za kushindwa. Unaongelea kushindwa bila ya ufafanuzi, chunga sana, utaishia kudharaulika mbele ya watu makini.

Ni bora uandike maandishi mengi yenye pointi zenye kueleweka kuliko kujifanya mjuzi wa kuandika pointi moja moja huku ulichokiandika hakina nyama za kutosha.

Magazeti mawili kati ya 20 au zaidi, maana yake ni kwamba uwiano wa magazeti hayo na mengine yaliyobaki ni mdogo sana.

Kwa akili za haraka haraka ulitakiwa ujiulize ni yapi ya maana yanayoweza kuandikwa na magazeti mawili tu halafu yaliyobaki yote yasiwe na uthubutu wa kuyaandika.
MKUU povu la Nini? Mbona mtoa Uzi kaeleweka tu vizuri??
 
Hii ndo Tanzania kila asemae ukwwli akimlenga mtendaj was huo ukweli no adui was mweny mamlaka
Bora kufa kwa heshima kuliko kujifanya unaish kwa kudharauliwa namna hiii
Inauma sana
And we claim to be a Democratic state
 
LAZIMA UTAYACHUKIA MAGAZETI TU.

1.Sukari imekushinda.

2.Mikopo elimu ya juu imekushinda.

3.Kuhamia Dodoma kumekushinda.

4.Nyongeza ya Mishahara imekushinda

5.Mgogoro wa Zanzibar umekushinda.

6.Siku ya usafi imekushinda.

7.Mahakama ya mafisadi imekushinda.

8.Ajira mpya zimekushinda.

9. Kutokubagua vyama vya siasa kumekushinda.

10. Katiba mpya imekushinda.

11. Kumkamata Lowasa na kuthibitisha kuwa ni fisadi kumfunga aliyedaiwa na chama chako kuwa ni fisadi kumekishinda.

12. Mafisadi wa awamu ya pili,tatu,na nne wamekushinda.

13. Ulipokuwa bukoba ulisema na kuchomelea makarai ni kiwanda.

14. Kugawa milioni 50 kila kijiji kumekushinda.

15. Mbaya kuliko zote ni kuwa mtu wa wanyonge kumekushinda.

....huko Shinyanga washapewa vidonge vyao,,debe moja la mahindi kwa ng,ombe watatu.

Endeleeni kufyatua watoto tu watasoma bure

Kagera wamechakachukiwa rambi rambi zao na kutakiwa wabebe mzigo wa uliotokana na janga la tetemeko la ardhi.

Lo, umeleta kali ya mwaka, je, we mwenzetu umewahi ku-contribute kitu gani cha maana katika Taifa letu - unaweza ukitupatia list ya mafanikio yako katika ujenzi wa Taifa ili tuweze ku-compare na ku-contrast na za Dk.Magufuli.
 
Bado ki
LAZIMA UTAYACHUKIA MAGAZETI TU.

1.Sukari imekushinda.

2.Mikopo elimu ya juu imekushinda.

3.Kuhamia Dodoma kumekushinda.

4.Nyongeza ya Mishahara imekushinda

5.Mgogoro wa Zanzibar umekushinda.

6.Siku ya usafi imekushinda.

7.Mahakama ya mafisadi imekushinda.

8.Ajira mpya zimekushinda.

9. Kutokubagua vyama vya siasa kumekushinda.

10. Katiba mpya imekushinda.

11. Kumkamata Lowasa na kuthibitisha kuwa ni fisadi kumfunga aliyedaiwa na chama chako kuwa ni fisadi kumekishinda.

12. Mafisadi wa awamu ya pili,tatu,na nne wamekushinda.

13. Ulipokuwa bukoba ulisema na kuchomelea makarai ni kiwanda.

14. Kugawa milioni 50 kila kijiji kumekushinda.

15. Mbaya kuliko zote ni kuwa mtu wa wanyonge kumekushinda.

....huko Shinyanga washapewa vidonge vyao,,debe moja la mahindi kwa ng,ombe watatu.

Endeleeni kufyatua watoto tu watasoma bure

Kagera wamechakachukiwa rambi rambi zao na kutakiwa wabebe mzigo wa uliotokana na janga la tetemeko la ardhi.
Bado kidogo mama Janet atamshinda.
 
Back
Top Bottom