cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 98,080
- 159,401
Kwa kweli.Sasa wenyewe hayo wanaona ni maisha magumu sababu huko karibu wananchi wote wanaishi standard life, hapo wanakuambia kwao ni mateso maana unakosa uhuru na kuchangamana na jamii, wakati kwa mbongo mwenye maisha magumu kwa jela hiyo hata akiachiliwa atafanya tena uhalifu ili arudi tu