Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

Afrique du Sud

JF-Expert Member
Jan 25, 2025
472
1,290
Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark..

Screenshot_20250321-172433_1.jpg

===========
Screenshot_20250321-172228_1.jpg

Shikamoo Wazungu..
 
Sasa wenyewe hayo wanaona ni maisha magumu sababu huko karibu wananchi wote wanaishi standard life, hapo wanakuambia kwao ni mateso maana unakosa uhuru na kuchangamana na jamii, wakati kwa mbongo mwenye maisha magumu kwa jela hiyo hata akiachiliwa atafanya tena uhalifu ili arudi tu
 
Kwa maisha niliyoishi vingunguti wakati kajitafuta ingekuwa jela hiyo nisingeomba kutoka.
 
Iko hivi.

Kuna mtu ana kifungo cha maisha.

Kuna mwingine kahukumiwa kunyongwa.

Kuna mtu ana miaka 30 n.k.

Kuna yule ana kesi komedi.

Halafu kuna correction facilities (hizi mara nyingi wanaenda under 18)

Halafu kuna zile mental facilities ambazo mtu alifanya kosa ila ikaonekana alifanya kwakua hayuko sawa mentally. Hua wanaachiliwa ila huja kukaa huku kwa uangalizi.

So usije ukaamua kwenda jela ukiamini picha ambayo haisemi anayefungwa humo ni wa kundi gani
 
Hata kama hauna kitu uhuru wako binafsi na uhuru wa kufanya mambo upendayo au yanayokupa furaha ya moyo ni bora sana kuliko ungewekwa kwenye jumba la dhahabu!
 
Iko hivi.

Kuna mtu ana kifungo cha maisha.

Kuna mwingine kahukumiwa kunyongwa.

Kuna mtu ana miaka 30 n.k.

Kuna yule ana kesi komedi.

Halafu kuna correction facilities (hizi mara nyingi wanaenda under 18)

Halafu kuna zile mental facilities ambazo mtu alifanya kosa ila ikaonekana alifanya kwakua hayuko sawa mentally. Hua wanaachiliwa ila huja kukaa huku kwa uangalizi.

So usije ukaamua kwenda jela ukiamini picha ambayo haisemi anayefungwa humo ni wa kundi gani
Hizo si correctional facility or juve? Hizo ni prisons kabisa. Full time, kuna wanao serve vifungo virefu vya kati na vifupi, treatment haijabadilika.

Sweden and norway wana prison facility ambazo ni the best in the world. Matter of fact , hawana death penalty, hawana life sentence, mfungwa mmoja ali commit crime ya kuua watu 11 if not 17 tukio za kigaidi. Akafungwa 21 years

So itategemeana na jamii na sheria za nchi husika
 
Uhuru ni kitu muhimu mno kwenye haya maisha,,,hata jela iwe vp, msosi uweje,,, jela ni jela tu huna tofauti na mbwa anaefugwa ! Huna uhuru kabisa
Jela ya sweden ni zaidi ya chumba cha kupangisha cha ubora wajuu. The fact wafungwa wana weekend , wanapewa uhuru wa kutembea within eneo la magereza, ku socialize na wafungwa wengine, kucheza games na n.k
Plus during days wanashughulika katika kazi mbali mbali, kwa wale wenye professionals wanatumikia professionals zao

Yes wanakosa uhuru, but after a time wanabadilika kabisa kitabis. The fact nordic countries ndio zenye low crime in europe, na possibility ya mfungwa kufanya makosa tena baada ya kutoka magereza is very small

While Us ni 70% mfungwa huyo atarudi baada ya muda mfupi
 
Iko hivi.

Kuna mtu ana kifungo cha maisha.

Kuna mwingine kahukumiwa kunyongwa.

Kuna mtu ana miaka 30 n.k.

Kuna yule ana kesi komedi.

Halafu kuna correction facilities (hizi mara nyingi wanaenda under 18)

Halafu kuna zile mental facilities ambazo mtu alifanya kosa ila ikaonekana alifanya kwakua hayuko sawa mentally. Hua wanaachiliwa ila huja kukaa huku kwa uangalizi.

So usije ukaamua kwenda jela ukiamini picha ambayo haisemi anayefungwa humo ni wa kundi gani
A correctional facility serves as a broad umbrella term encompassing both jails and prisons within the criminal justice system. It refers to any institution involved in the correction, rehabilitation, and confinement of individuals as part of legal sanctions. The key distinction lies in the duration of confinement.
Source: What's the Difference Between Jail and Prison?.
 
Lengo la kumuweka mtu gerezani ni kumnyima Uhuru na siyo kumuweka katika mazingira mabaya.
Adhabu ni kumtenga na jamii, na kumkosesha Uhuru kwa sababu ni ana madhara kwa namna fulani akiachwa huru.
Hali mbaya ya magereza hutokana na umasikini na kutostaarabika kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Kumfunga mtu katika mazingira mabaya ni kosa katika mtazamo wa wa kustaarabika.
 
Back
Top Bottom