Asante CCM
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 552
- 1,963
Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi.
Mda utaongea.
Yajayo yanafurahishaView attachment 3072485
Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi.
Mda utaongea.
Kikwete apumzike sasa! Alishastaafu alatulie na wajukuu zake. Fedha zinazotumika kunihudumia akienda safari nje ya nchi ni nyingi na zitakazoweza hata kuongeza madawa kwenye zahanati kadhaa vijijini. Ahurumie watu maskini wasio na pesa ya kujinunulia japo Panadol.Timu ya Msoga ipo katika mikakati mizito, ngoja kiongozi wa timu arudi toka Zimbabwe...
Bulawayo24 News
https://bulawayo24.com › index-id...
Tanzania's President arrives in Zimbabwe for SADC Summit
2 days ago — Tanzania's President Dr. Samia Suluhu Hassan and former President Dr. Jakaya Kikwete have arrived at Robert Mugabe International Airport for the 44th Head of States SADC ....
View attachment 3072488
Au na yeye anataka kupumzika?Nchi kaenda kumuomba radhi Kinana
Bibi tayari yupo kwenye target za Wahuni;angekutwa Mama yangu ningemshauri ajiuzulu!View attachment 3072485
Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi.
Mda utaongea.
Kikwete apumzike sasa! Alishastaafu alatulie na wajukuu zake. Fedha zinazotumika kunihudumia akienda safari nje ya nchi ni nyingi na zitakazoweza hata kuongeza madawa kwenye zahanati kadhaa vijijini. Ahurumie watu maskini wasio na pesa ya kujinunulia japo Panadol.
Huna ulijuwalo. Kikwete ni hazina yenye thamani kubwa duniani.Kikwete apumzike sasa! Alishastaafu alatulie na wajukuu zake. Fedha zinazotumika kunihudumia akienda safari nje ya nchi ni nyingi na zitakazoweza hata kuongeza madawa kwenye zahanati kadhaa vijijini. Ahurumie watu maskini wasio na pesa ya kujinunulia japo Panadol.
Huwa wanafikia sehemu moja auHuna ulijuwalo. Kikwete ni hazina yenye thamani kubwa duniani.
Hapo ameenda kama Mtanzania lakini ni Mwenyekiti wa GPE.
Unafaihamu GPE?
Huyu mzee mwache apumzike mtoto wake ni waziri unafikiri anaweza kua shida na mama mnajidanganyaKikwete apumzike sasa! Alishastaafu alatulie na wajukuu zake. Fedha zinazotumika kunihudumia akienda safari nje ya nchi ni nyingi na zitakazoweza hata kuongeza madawa kwenye zahanati kadhaa vijijini. Ahurumie watu maskini wasio na pesa ya kujinunulia japo Panadol.
This time ameogopa kupiga simu maana teknolojia ilishamuumbuaKupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi.
Waziri nani huyo nasikia wana musk majina yaoHuyu mzee mwache apumzike mtoto wake ni waziri unafikiri anaweza kua shida na mama mnajidanganya
Hazina ya mama yakoHuna ulijuwalo. Kikwete ni hazina yenye thamani kubwa duniani.
Hapo ameenda kama Mtanzania lakini ni Mwenyekiti wa GPE.
Unafaihamu GPE?
Utakufa nacho kijiba cha roho.Hazina ya mama yako