Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 459
wameishiwa hoja wamebakia na vichekesho tupu, eti rais hajaenda nje ya nchi tangu aingie madarakani, ooho eti rais hatoi hotuba kila mwisho wa mwezi
Sisi tunataka kazi tu wao wanatuletea mambo ya hotuba sijui kusafiri nje duuuh wameishiwa pumzi kabisaa
Sisi tunataka kazi tu wao wanatuletea mambo ya hotuba sijui kusafiri nje duuuh wameishiwa pumzi kabisaa