Hivi wanawake hamna stail nyingine ya kucheza mziki bila kutikisa makalio yenu na kuinama inama ?

Kamatia chini kamatia chini
Go low go low go low
Go down Hata mara moja jiweke down....

Kwa hizi nyimbo naachaje kubambia hapo nyuma kwa Frog??

Na mi nasema..ladies endeleeni kutikisa msambwanda na kukata nyonga...hivyo ndio napendaga
Kamatia chini wapi wewe.
taarabu laiiiiini au mziki wa bendi. Kamatia chini nguvu nyingi zinatumika.
 
Kamatia chini kamatia chini
Go low go low go low
Go down Hata mara moja jiweke down....

Kwa hizi nyimbo naachaje kubambia hapo nyuma kwa Frog??

Na mi nasema..ladies endeleeni kutikisa msambwanda na kukata nyonga...hivyo ndio napendaga
mkuu umetisha mambo ya go low {ashikwa sehemu mbayaaaaa}
 
Kwa tunes kama hizi lazima kutingisha makalio, by the way hata nyie wanaume cheza yenu inakuwaga hivo hivo. Mpaka hapo tutakapo badili tune labda na kwenda ki hip hop.

Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?

Mnafanya hivyo ili iweje sasa?

Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?

Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu

Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
Ukiona wanayatikisa wewe ondoka tuache sisi tunaopenda yakitikisika tuyaangalie.
 
Style ya kuchezaee watu wapo kzini oohoooo we utabaki kuwaza style kwanza ulikuwa wapi na ww mpk ukwaona maaan nishaanza kukustukia
 
Nguvu ya MAMBA ipo MKIANI...NA DERA bila MKIA ni sawa na KANZU... mkuu...Kwahyo kutikisa mkia ndy SILAHA YAO...kwetu sisi MIDUME..
 
Kwa tunes kama hizi lazima kutingisha makalio, by the way hata nyie wanaume cheza yenu inakuwaga hivo hivo. Mpaka hapo tutakapo badili tune labda na kwenda ki hip hop.

Hivi albam yenye wimbo huo inaitwaje? kuna wimbo mmoja koffi akiwa na mtoto mkali sana ndani.
 
Back
Top Bottom