Hivi, vitengo vya serikali majina yake yanatokana na nini hasa?

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,184
799
Kwani haya majina yanatofautinana nini hasa? Utasikia
1. Taasisi ya......... Mfano Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
2. Bodi ya.............Mfano, Bodi ya Mikopo,
3. Tume ya..........Tume ya Taifa ya Science na Teknologoia
4. Kurugenzi ya...... Mfano Kurugenzi ya Mawasiliano ikulu
5. Mamlaka ya...... Mfano: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

Naomba kufahamu tofauti ya miundo ya hizi " organs" za serikali
 
Utofauti upo kwenye ukubwa wa upigaji,kwenye bodi huko sio mchezo chai mnakunywa Dubai lunch china,ila taasisi huku sio sana,labda mamlaka ila tume ulaji wake upo ila ni hard to come by.
 
Kwani haya majina yanatofautinana nini hasa? Utasikia
1. Taasisi ya......... Mfano Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
2. Bodi ya.............Mfano, Bodi ya Mikopo,
3. Tume ya..........Tume ya Taifa ya Science na Teknologoia
4. Kurugenzi ya...... Mfano Kurugenzi ya Mawasiliano ikulu
5. Mamlaka ya...... Mfano: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

Naomba kufahamu tofauti ya miundo ya hizi " organs" za serikali
TAASISI–ni muundo wa management katika kitu fulani ila kuna kuwa na activities nyingi kwa wakati mmoja kwa mfano wizara ya afya yaani inakuwa na vitu vingi lakini ndani yake kuna tume

TUME–tume huwa inaundwa kwa ajili ya kitu fulani na sio endelevu kwa mfano Tume ya taifa ya kuthibiti ukimwi au ile ya dr mwakimbe wanafunzi walipofeli kwenye law au wanapofeli mitihani.

BODI–ni muundo ambao unaundwa na watu ndani ya taasisi au tume kwa ajili ya kusimamia au kushauri katika kitu fulani nayo pia inaweza ikavunjwa baada ya mda kutokana na mahitaji kwa mfano Bodi ya washauri ya mambo ya siasa ya raisi samia au bodi ya korosho au zile bodi za simba na yanga.

KURUGENZI–kurugenzi ni muundo ambao upo ndani ya taasisi ambayo ina vitengo tofauti kwa mfano wizara ya maji kuna mkurugenzi wa Ruwasa kuna mkurugenzi wa mabonde lakini yote ni wizara ya maji

MAMLAKA–ni muundo wa uongozi ambao unalenga kitu specific kwa mfano Mamlaka ya maji ya mwanza mamlaka ya maji ya dodoma lakini zote zipo wizara ya maji na kwenye mamlaka wanaweza wakaunda TUME NA BODI PIA ila ipo chini ya kurugenzi na Taasisi ya wizara ya maji.

Nimejaribu mkuu.

Hivyo kiukubwa zinaanza hivi:–

1.TAASISI
2.KURUGENZI
3.MAMLAKA
4.BODI
5.TUME

I'm out.
 
1. Hapo kwenye tume nakataa, mfano tume ya Science na Technologia imekuwapo miaka na miaka. Tume ya Uchaguzi, unadahani kuna siku itavunjwa? Kuna tume zinazovunjika kama hizo za Judge Kisanga n.k

2. Hizo bodi ninazosema zimeundwa kwa mujibu wa sheria mfano bodi ya mikopo Act No.9 of 2004 (as amended in 2007, 2014 and 2016). Swali la kufikirisha ni kuwa, mfano bodi ya mikopo ingeitwa Taasisi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, nini kingekosewa hapo
3. Kwani mamlaka ya hali ya hewa iko chini ya Wizara gani?
 
Mamlaka ya hali ya hewa ipo kwenye wizara ya habari na mawasiliano mkuu.

Kwenye tume maana yangu ilikuwa kwamba baada ya uchaguzi tume inafanya kazi gani baada ya hapo.

Hizo mamlaka ziwe kisheria au ziwe kwa kuundwa lengo lake ni moja tu kusimamia kitu fulani ila zinakuwa under supervision of something ila inaonekana swali lako lilikuwa too specific na mimi nimejibu general.
 
HIVI KUMBE SIKU HIZI HAKUNA WIZARA YA MAWASILIANO NA UCHUKUZI KUMBE ZIMETENGWA HIVO
 
TAASISI–ni muundo wa management katika kitu fulani ila kuna kuwa na activities nyingi kwa wakati mmoja kwa mfano wizara ya afya yaani inakuwa na vitu vingi lakini ndani yake kuna tume

TUME–tume huwa inaundwa kwa ajili ya kitu fulani na sio endelevu kwa mfano Tume ya taifa ya kuthibiti ukimwi au ile ya dr mwakimbe wanafunzi walipofeli kwenye law au wanapofeli mitihani.

BODI–ni muundo ambao unaundwa na watu ndani ya taasisi au tume kwa ajili ya kusimamia au kushauri katika kitu fulani nayo pia inaweza ikavunjwa baada ya mda kutokana na mahitaji kwa mfano Bodi ya washauri ya mambo ya siasa ya raisi samia au bodi ya korosho au zile bodi za simba na yanga.

KURUGENZI–kurugenzi ni muundo ambao upo ndani ya taasisi ambayo ina vitengo tofauti kwa mfano wizara ya maji kuna mkurugenzi wa Ruwasa kuna mkurugenzi wa mabonde lakini yote ni wizara ya maji

MAMLAKA–ni muundo wa uongozi ambao unalenga kitu specific kwa mfano Mamlaka ya maji ya mwanza mamlaka ya maji ya dodoma lakini zote zipo wizara ya maji na kwenye mamlaka wanaweza wakaunda TUME NA BODI PIA ila ipo chini ya kurugenzi na Taasisi ya wizara ya maji.

Nimejaribu mkuu.

Hivyo kiukubwa zinaanza hivi:–

1.TAASISI
2.KURUGENZI
3.MAMLAKA
4.BODI
5.TUME

I'm out.
Kwenye mabonde ya maji zote huwa ni bodi mfano bodi ya maji ya ziwa rukwa...n.k....ila mkuu wake anakuwa mkurugenzi kweli water basin director..hivyo zenyewe sio kurugenzi
 
Nchi hii inahitaji Rais ambaye ni reformer na mwenye uelewa.. kama alivyo fanya kagame..

Rwanda hakuna utitiri wa vitaasisi kama tanzania, kuna taasisi nyingine toka enzi za ujamaa..

Kagame alivyo chukua nchi alikuta kigali kuna vyuo kama 20, vyote vinataka bajeti, akavunja vyote na juunda rwanda umiversity..

Mfano

Kuna tume ya science na technologia (costech)
 
Kwenye mabonde ya maji zote huwa ni bodi mfano bodi ya maji ya ziwa rukwa...n.k....ila mkuu wake anakuwa mkurugenzi kweli water basin director..hivyo zenyewe sio kurugenzi
Hapana zile zinaitwa water basin ambayo Tanzania kuna mabonde saba na sio bodi ni mabonde,
Kuna bonde la pangani
Kuna bonde la wami ruvu
Kuna bonde la ziwa Victoria
Bonde la kati
Bonde la rukwa n.k

Na kuna wakurugenzi na yanasimamiwa na wizara ya maji.
 
Mkuu Mimi mwenyewe nafanya kazi katika moja ya mabonde hapa nchini nikiwa Kama mtaalam wa maji juu ya ardhi (hydrology) ninajua ninachokisema ..Kwanza Tanzania Kuna mabonde Tisa umesahau kutaja bonde la ruvuma na mito ya pwani ya kusuni....na pia bonde la ziwa Tanganyika..mabonde yote yako chini ya bodi zao.na WBO anakuwa Katibu wa hio bodi
Ingawa kiukweli japo iko bodi yenye mwenyekiti ila kimuundo water officer huyu yaani mkurugenzi ndo mkuu wa hio taasisi then wanakuja wakuu wa vitengo.mazingjra, underground water, hydrology,CDO'S,dam safety.
 
Back
Top Bottom