Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Kuna kabinti flani niliwahi kukatongoza kanakaa Tabata Kimanga huko. Basi kakawa kanasoma dakawa girls form six bana kakiwa skuli mara vizinga vya tenga kumi mara mbao.

Siku moja kalifunga shule kakarudi uraiani kakaniambia tuonane, kukutana nae basi akawa anawenge kinoma. Mwisho wasiku akaanza kudai amechelewa home na foleni shida nikamkodia toyo from Mwenge to Kimanga..

Baada ya hapo kakawa kanapiga mizinga tu kama mazoezi ya makombora jeshini. Nikaona huyu kanifanya saccos nikakata mirija.

Mwisho wa siku kuona mirija imekatika kakaniambia "huna hadhi ya kuwa na mimi" nilikosa pozi kiaina ila nikacheka kimoyomoyo.

Nilicheka kwakuwa nilikua sijajiingiza kwake kiivyo na sikuwahi kumchukulia serious hata siku moja, sema iliniuma roho sikuwahi kukagegeda niliishia kupiga touch tu na lita.

I hope nitakuja kukutana nako siku moja.
 
Si vizuri kumijibu mtu vibaya,,,,, lkn kunawatu ving'ang'anizi haelewi hata uongee kifaransa sasa mtu km huyo unafikiri utamfanyajee......yes mm nilishawahi kumtusi mtu.....
 
Mimi style yangu yangu ya kutongoza siwezi kutoswa kwa aina yoyote. Ni kama unamuongoza kuku kwenye banda lake.....anaweza kufika karibu na banda asiingie mlangoni akakimbilia jalalani kupekua sasa hapo unaweza kumfuata umuongoze tena aingie bandani au umuache alale nje aliwe ns mapakashume.

Ukitumia style hii hayakukuti hayo.
Kutukanwa kwenye utongozaji, inategemea na saikolojia yako umeijengaje katika masuala hayo.
Kwa upande wangu, kutukanwa na kudhihakiwa, hunipa nguvu za ajabu kama za simba dume kuelekea mafanikio ya kumpata "mlengwa"
Kwangu mwanamke mtukanaji machachari na domokaya, humchukulia kama ni mwanamke mwenye mikwara isiyo na pingamizi lolote. Si mgumu kiviile, ambaye pia si "maharage ya mbeya".
Akinitukana, huyo kajiongezea alama muhimu za kuwa mpz wangu. Huyo ni lazima nimpate kwa gharama zozote, mbinu zozote uzijuazo ulimwenguni, ntazitumia hata kwa kufikishana mahakamani ilimradi tu nimnase.
Mwanamke anitukane kisa kumtongoza! Elewa huyo lazima kaenda na maji ninamaanisha "kaliwa".
Ninayasema haya kwa kujiamini sana.
 
Back
Top Bottom