Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Benny

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
3,275
5,403
Wakuu nauliza umeshawahi kutoswa wewe Mwanaume au Mwanamke?

Sio kukataliwa ile ya kistaarabu kwamba umechelewa au sitaki mahusiano.

Kukataliwa kwa matusi, maneno machafu mpaka ukifika kwako unavua nguo zote unajiangalia kwenye kioo ni wapi pana shida?

Kuna watu wana maneno machafu sana huku duniani kama hujawahi kutoswa kwa dhihaka, dharau na kunyanyaswa tafuta wa kukupa hii dawa utapiga hatua kubwa ya kutatazama mahusiano kwa namna ya pekee sana.
 
Well
well said sir
 
Mimi style yangu yangu ya kutongoza siwezi kutoswa kwa aina yoyote. Ni kama unamuongoza kuku kwenye banda lake.....anaweza kufika karibu na banda asiingie mlangoni akakimbilia jalalani kupekua sasa hapo unaweza kumfuata umuongoze tena aingie bandani au umuache alale nje aliwe ns mapakashume.

Ukitumia style hii hayakukuti hayo.
 
Style yako ni ipi, ebu ifafanue zaidi
 
Haha

Boss kama bado,
tafuta nafasi ujifunze
 
back in the demsay, ila niliishia kumgededa sana tuu, hadi akawa anagombana na potential opponents wake... ujna rahaa..
 
Mkuu Benny umeelezea juu juu ila hujatupa experience yako.

Kuna style moja niliibuka nayo kipindi cha nyuma ya kujiambia "Tafuta pesa, tafuta pesa, tafuta pesa" pale napokuwa nimetoswa, nimenyimwa namba ya simu.

Huo msemo ulinisaidia sana na ulinijenga.
 
Raimundo..sisi wanaume tuna
changamoto sana...


ila hiyo ya "tafuta pesa"
uliamua kua possitive
sana ili usirudi nyuma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…