Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,736
- 20,739
Kwa comment kama hizi halafu mnajiuliza kama mna laana.dogo
kidogo sasa naona unajitahidi kirengesa,,,,big up kidogo
Kwa comment kama hizi halafu mnajiuliza kama mna laana.dogo
kidogo sasa naona unajitahidi kirengesa,,,,big up kidogo
Mkuu umenifanya nicheke kama mwehu maana hata mm sitaki kuwaamini hao machifu maana wao ndo sababu tosha ya cc kuwa nyuma kuliko wenzetu na walikuwa wakijipendelea kuoa wanawake wengi na kuishi maisha ya anasa kuliko wenzaoHahahaaa hao watu ni vielelezo vya upumbavu tu.
We mtu anawaambia wenzie eti wachanganye maji na mchanga halafu wajipake na wakipigwa risasi, hiyo risasi haitawadhuru au sijui itayeyuka...
Mchango wao katika maendeleo ya maisha ya mwanadamu ni nini hasa?
Maswali ambayo huweza kuyajajibu huwezi kusema ni ya kijinga.maswali yako mengine ni ya kijinga.
Je, Socrates alikuwa anauliza maswali ya kijinga kama wewe?.
Socrates alikuwa anachanganya kiswahili na kingereza ktk maswali yake?.
Waajabu kwa yapi?Hata vidole havifanani.
Lazima kukubari utofauti
Ila haina maana ss tuna laana.
Hata ukienda ulaya kuna watu waajabu kule mpaka utashangaa.
Walikuwa hawaoni mbele na wala hawana future yoyote,hata sasahv viongozi wengi wa Afrika hawana future ya miaka kadhaa baadaye. Wao wanachofanya ni kuingia kwenye siasa na kuchukua uongozi ili waibe pesa zetu wakafiche ulaya.Mkuu umenifanya nicheke kama mwehu maana hata mm sitaki kuwaamini hao machifu maana wao ndo sababu tosha ya cc kuwa nyuma kuliko wenzetu na walikuwa wakijipendelea kuoa wanawake wengi na kuishi maisha ya anasa kuliko wenzao