Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,773
- 14,648
Ni aibu kila nchi inayokuja kujifunza tanzania kilimo ikipeleka kwao inafanya mpaka kujulikana wazalishaji wakubwa.leo zana na vifaa vya kilimo vina utitili wa makodi na siasa yani mpaka mbolea ni jambo la zama za zamani.
wakulima,wafugaji na wavuvi ni kama watu wasio thaminika.watu hawa ndio walitakiwa kuwa matajiri sababu ndio wanalisha nchi.
mfano wa wakulima
nchi yetu imebahatika kuwa na maeneo makubwa yenye rutuba na ambazo zinakaliwa na wamiliki ambao wakulima wasio jiweza.
tunashindwa nini wasiwe kipaumbele kuwekewa dhamana na benki kununuliwa vifaa na kutafutiwa masoko ndani na nje.
kuwekezwa kwenye mazingira mazuri kama makazi,usafiri,mabwana kilimo na n.k.
mfano wa wafugaji
tuna idadi kubwa ya mifugo na uwahakika wa nyama ni mkubwa sio kwa wenzetu wanaofikia mpaka kula chura sababu ya uhaba wa mifugo na bei.
kwa nini serikali isiwawezeshe wafugaji kuwa na mfumo wa kufuga kulima yani wawe wanafuga na kulima nyasi ambazo tafiti mnazo pale morogoro ila sijaona kufanyiwa kazi.
mfano wa wavuvi
yani tuna bahari na maziwa ila samaki ni mboga wanaojiweza sababu ya ukosefu wa kuvuna samaki.yani mpaka leo wavuvi wameshindwa kupewa kipaumbele kuwa na meli au maboti makubwa ambayo yakiingia kuvua tani na matani mpaka mtu wa kigoma anapata ngisi na jodari.
mnawakumbuka wale waliokomatwa kipindi cha waziri marehemu magufli ile meli ndio mfano tosha sio mitumbwi ambayo hata tani 2 iwezi kubeba na kuvua mbali kabisa ambao mataifa mengine utumia fursa bahari ya indi kujivulia tusipo weza kufika.
ni maoni