Hivi Rais Magufuli hana walinzi wa kike wa Kudeal na Wanawake?

Kipande cha kuona huyo mama anasukumwa na kutendwa hivyo na huyo mkaka mfufu ambaye hana afabu kwa wanawake, ndio kimenisitisha zaidi sana tena sana.
 
So angekuwepo mlinz mwanamke... huyu mama atokee upande wa mlinz wa kiume... wakiume akae kimya asubiri wakike aje???? nyie watu bana


Ngoja niangalie walinz wa Trump kama mwanamke yupo
Kwahyo wewe unalinganisha ulinzi wa trump na wa huku kwetu huoni kuwa unalinganisha mbingu na ardhi
 
HURUHUSIWI KUMSOGELEA RAIS KWA NAMNA YEYOTE ILE LABDA AKUITE YEYE.. weka kichwan kwako hiyo


Hakuna ustaarabu kwa mtu wa aina yeyote ile atakae jaribu kumsogelea rais, Na hilo weka kichwan pia
Mbona huyo mama alikuwa mbali tu tena sana tu kwenye hyo video,
 
Ndugu yangu uwe unajiongeza kidogo, ilikuwa ni lazima aondolewe pale kwa nguvu kwaajili ya usalama. Kumbuka mtu anaweza kujifunga bomu na kulilipua kwa staili kama ya huyo mama. Tuwe makini tunavotoa comment itasaidia sana.
Yani mtu awepo Mpaka maeneo Yale na damu alirushe kizembe hivo bila kujilkana, ujue na wenye nia ovu pia nao hujipanga vilevile
 
Umeshawahi kumuona aliyejifunga bomu kiunoni?? Pale ilikuwa ni usalama kwanza mengine baadaye. Hakuna lawama afisa usalama alikuwa kazini na alikuwa anatimiza majukumu yake. Imagine katumwa kuja kulipua bomu na pale palikuwa pana viongozi wakubwa wa kitaifa. Tujaribu kutumia common sense
Wewe ndo hutumii common sense sasa kumvuta tu huyo mama ndo ingekuwa solution bila huyo baunsa kuwa na kifaa cha Ku detect Bomu si ndo lingelipuka tu sasa
 
Yuko kazini, hakuna sehemu yeyote dunian utafanya hvyo uachwe, tusipende sympathy za kijinga wakati mwingne... Sehemu nyingne unaweza kuwekwa ndan kabisa... unadhan rais n sawa na monitor???

Alafu aliekuambia utamtambua mtu mwenye nia mbaya kwa kumwangalia n nani? Kama amevaa bomu je utajuaje? Usalama wa rais hauhij ku bet hata kdgo... Usije dhan kuna cha kuassume, haipo popote pale dunian... hao walinzi wanalipwa kwa ajili hiyo

Wanaleta mambo ya udini hapa,eti kavuluwa hijab,hiyo hijab ni muhimu kuliko ulinzi na usalama wa mheshimiwa rais? Hivi mnafikiri rais ni mchezo,yule ni mfalme,laZma aheshimiwe na kulindwa,jifunzeni kuheshimu mamlaka!
 
Angetumika mlinzi mwanamama kutuliza ile ghasia, Haikuwa sawa kwa yule askari kumtomasa tomasa vile yule mama mjane!
Mhhh...amemtomasa? Hii Kali. Pengine hujaelewa mzigo wanaoubeba hao walinzi. One mistake....One goal. Naelewa umuhimu wa kueleza dukuduku lake kwa Rais...Ila haimaanishi walinzi wazubae tu watu wafanye wanavyojisikia....wanaishia kufungwa kama Rais ataumizwa
 
Kwahyo wewe unalinganisha ulinzi wa trump na wa huku kwetu huoni kuwa unalinganisha mbingu na ardhi
Rais n Rais... Hakuna rais mwenye hadhi ya juu na rais mwenye hadhi ya Chini, hakuna... ikatokea Magufuli akaenda USA, heshima anayopewa rais yeyote anaenda pale na yeye atapewa hiyo hiyo

Mataifa ndio yanatofautiana nguvu, uchumu, technology na mambo mengine... Ila Urais n kitu kingine kabisa
 
Rais n Rais... Hakuna rais mwenye hadhi ya juu na rais mwenye hadhi ya Chini, hakuna... ikatokea Magufuli akaenda USA, heshima anayopewa rais yeyote anaenda pale na yeye atapewa hiyo hiyo

Mataifa ndio yanatofautiana nguvu, uchumu, technology na mambo mengine... Ila Urais n kitu kingine kabisa
Ndio Rais ni Raisi tu ila kile kitendo cha kusukumana kimenishangaza tena mtu mwenye mafunzo kazidi wa na yule mama, kwanini hakutumika police mwanamama?
 
Hiyo mshikemshike, hakukuwa na walinzi wa kike? Halafu walinzi wa outer ring walikuwa wapi mpaka hao wa inner ring wanamwondoa huyo mama wakati hilo ni jukumu la polisi/ FFU i.e. walinzi wa outer ring of the security of the president?


hilo swali hata mimi ninajiuliza, mwanaume kumshika mwanamke kama hivyo sio adabu wala heshima kwa utu wa mama zetu.
 
Back
Top Bottom