Hivi rais Magufuli amemtendea nini masikini mpaka sasa?

rungwe.jpg
 
Acha porojo urais ni miaka mitano, sasa unatoa hukumu hata mwaka haujaisha

Mbegu ya mahindi, tangu kupandwa hadi kuvunwa ni miezi 4, (mfano).
Mbegu ya mahindi tangu kusiwa ardhini hadi kuchomoza mmea ni siku 6, (mfano)
Ulipanda mbegu yako tarehe 08.05.2016 mpaka leo ni mwezi sasa, haijachomoza ardhini.....bado unaendelea kusubiri ukimwagia maji na kuweka mbolea?
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada Jesca nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi kilaza kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.
Kuna watu nchi hii kazi yao kulialia tu..
Elimu bure wanalia
Umeme umeshuka bei wanalia
Barabara ya mwenge Morocco imejengwa wanalia!
@ nyumbu Wa ufipa
 
Upo sawa kuwa mfumo ni sheria lakin sheria zizopo tumeshindwa kusimamia leo hii unaweka sheria nyingine tutaweza kuzisimamia kweli. Leo wabunge wetu wengi wanajali maslahi yao wenye kwanza bila kujali wananchi waliowachagua, kutojali watoto wa majimboni kwano wanasoma chini ya miti au kukaa chini. Nilitegea kuona wabunge wanajitolea kutengeneza madawati na kuhasisha watu julitolea kuchangia vitanda mahospitaline. Lakini ukija uchangauzi wabunge ni wakwanza kutume email na msg kuomba mchango kwa ajili za kampeni zao.

Mentality mbaya sana hii. Mbunge si kazi yake kutoa misaada. Hizo hela unazotaka mbunge akununulie madawati yeye anazitoa wapi? Mshahara wa mtu na stahiki zake si channel ya mgawanyo wa fedha za serikali kwa wananchi. Hebu angalia hapo kwenye bold umeandika utumbo gani?

Wabunge sio wakusanya kodi wa nchi hii. Wabunge wanaweza kusaidia kama ambavyo mtu yeyote anaweza kusaidia maendeleo ya mtaa wake lakini si wajibu.
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada Jesca nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi kilaza kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.

Kamuepusha masikini na Genge la KLM Mafia linaoongozwa na Fisadi Lowasa, Mbowe, na vibaraka wao Lisu, Zito &Co. !
 
Mbegu ya mahindi, tangu kupandwa hadi kuvunwa ni miezi 4, (mfano).
Mbegu ya mahindi tangu kusiwa ardhini hadi kuchomoza mmea ni siku 6, (mfano)
Ulipanda mbegu yako tarehe 08.05.2016 mpaka leo ni mwezi sasa, haijachomoza ardhini.....bado unaendelea kusubiri ukimwagia maji na kuweka mbolea?
Inategemea na focus yako ni hipi, sisi wengine tumepanda mazao ya muda mrefu. tunatakiwa tusubuli miaka zaidi ya mitatu ndo maua yatoke.
 
Amefanya wana Jamvi wa JF wampumzishe Vasco Da Gamma na lawama kwake, amewasaidia maskini kuacha kupoteza pesa kununua sukari badala yake wanatwanga miwa.
Ameua upinzani kwani nchi hii sasa ni ya chama kimoja tuu.
Amepumzisha zomea zomea bungeni za CCM kwa wapinzani kwani walikuwa wanajiona wana akili sana kuliko wale wa upande mwingine (kwani uongo). Sasa hata ambaye alikuwa anaogopa kuchangia kama aliyelia kwa kuogopa tv live anang'aka kama kawa.
Kidumu kidumu mpaka mwisho wa dunia. Demokrasia peleka ulaya na marekani kwanza ikiwezekana utemi urudi.
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada Jesca nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi kilaza kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.

Wewe umewatendea nini? halafu ndio uulize wengine, JPM kwa kutimiza wajibu wake kama amiri jeshi mkuu na nchi kuwa katika Amani, utulivu na mshikamano hii itakuwa moja, mbili kuwahimiza nyie wamatumbi mchape kazi na muache figisu figisu katika kuchapa kazi hii, na tatu yake kuokoa pesa na kuziba yale mashimo mliyokuwa mmejifichia kuwanyonyea maskini, nne kuongeza makusanyo ya kodi ili pesa ya kuhudumia maskini iwepo na Tano yake ndio mpango ametupia jana bajeti ya kuanza safari kuelekea huko kwenye uchumi wa kati. Angalizo kila mtu achape kazi na nyie mnaokaa kutazama wenzenu wakosee wapi dawa yenu inachemka mtakunywa mtake msitake.

Hizi fujo mnazoanzisha, Lugumi, sijui Zanzibar, Tulia na kutoroka bungeni ndio kurukaruka kwa maharage.

HAPA KAZI TU.
 
Inategemea na focus yako ni hipi, sisi wengine tumepanda mazao ya muda mrefu. tunatakiwa tusubuli miaka zaidi ya mitatu ndo maua yatoke.

Time frame. Hata zao liwe la muda mrefu kiasi gani, mmea una wakati wake wa mbegu kuota na kuchomoza juu ya ardhi. Yes, mnazi ni zao la taratibu, lakini hiyo haimaanishi miaka 3 tangu upande mbegu na haijachomoza lakini bado unajifariji na kuendelea kumwagia maji mbegu iliyokufa.

Au nikuite mwenye akili gani, kwenye bustani yako ya mchicha baada ya kusia mbegu zinaanza kuota tunguja mwitu (ndulele/ndula) badala ya mchicha nawe unajijaza matumaini na kujitoa fahamu? Umeuziwa mbegu sio zenyewe
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada Jesca nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi kilaza kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.
TUULIZE SISI MASIKINI TUTAKWAMBIA ALICHOTUFANYIA. ANGALAU TUNASHANGILIA , NALO HILO NENO KWA SISI MASIKINI. HATUHITAJI ZAIDI YA KUSHANGILIA!
 
Tunapotaman pepo tusiogope kufa, 2025 sijui ntakua wap mie maana utamu wa nchi unakuja na kupotea, nipo natzama IP Man ya Don Yen na nkmalza naweka Drunken Tai-chi ya Jack chan huku nkisubir kufa na na niione pepo (Tanzania ya viwanda)
 
Wewe umewatendea nini? halafu ndio uulize wengine, JPM kwa kutimiza wajibu wake kama amiri jeshi mkuu na nchi kuwa katika Amani, utulivu na mshikamano hii itakuwa moja, mbili kuwahimiza nyie wamatumbi mchape kazi na muache figisu figisu katika kuchapa kazi hii, na tatu yake kuokoa pesa na kuziba yale mashimo mliyokuwa mmejifichia kuwanyonyea maskini, nne kuongeza makusanyo ya kodi ili pesa ya kuhudumia maskini iwepo na Tano yake ndio mpango ametupia jana bajeti ya kuanza safari kuelekea huko kwenye uchumi wa kati. Angalizo kila mtu achape kazi na nyie mnaokaa kutazama wenzenu wakosee wapi dawa yenu inachemka mtakunywa mtake mistake.

Hizi fujo mnazoanzisha, Lugumi, sijui Zanzibar, Tulia na kutoroka bungeni ndio kurukaruka kwa maharage.

HAPA KAZI TU.

Si ni wewe umesema kuna mkakati wa kuziba mashimo. Vipi tena hapo kwenye bold?

Kodi zaidi inaletwa na uzalishaji zaidi na sio idadi ya kodi nyingi kwa biashara ile ile. Hamisi leo analipa kodi moja tu ya P.A.Y.E, unakuja na mkakati wa kumtetea Hamisi kwa kuboresha huduma za afya kwa makusanyo ya kodi kutoka Hamisi yule yule, kwenye kipato chake kile kile......uko sawa mkuu?
 
JMP anatengeneza mfumo ambao utasaidia kuwawezesha mtanzania yoyote kupata haki yake na kufanikiwa bila kujali kipato chake. Mfano: Elimu bure, Afya access kwa bima na wazee bure, Kubana matumizi kwa ajili hizo helazitumike kupeleka maji vijijini navitu vingi tu. Tunatakiwa kukumbuka tulipotoka kwani watu walikuwa wanapewa huduma kutokana na surname zao.
Elimu sio bure,jana tumetoka kwenye kikao cha shule tumeamua kuchangia chakula kwa watoto wetu kama ilivyokuwa awali, kulipa sh. 6000/= kila mzazi wa mtoto wa darasa la sita na Tano kama ilivyokuwa awali vinginevyo hawata kuwa na uwezo wa kufaulu darasa la saba,sasa hiyo bure iko wapi?acha ujinga na ukijifanya kutokuchangia mwanao ataishia lasaba
 
Si ni wewe umesema kuna mkakati wa kuziba mashimo. Vipi tena hapo kwenye bold?

Kodi zaidi inaletwa na uzalishaji zaidi na sio idadi ya kodi nyingi kwa biashara ile ile. Hamisi leo analipa kodi moja tu ya P.A.Y.E, unakuja na mkakati wa kumtetea Hamisi kwa kuboresha huduma za afya kwa makusanyo ya kodi kutoka Hamisi yule yule, kwenye kipato chake kile kile......uko sawa mkuu?

kwenye bold ndio kuruka ruka kwa maharage kwenyewe, ukiweka maji ya moto katika mashimo ya panya ili wafe kuna ambao watakimbia lakini unawakimbiza huko huko walipo ili shughuli ikamilike. Bongo uzalishaji ni namba mbili kwanza watu wafanye kazi wengi walikuwa wanakula goodtime na figisu figisu sasa kwa kuanzia wale ambao wako kwenye payroll wafanye kazi halafu ndio waliokuwa benchi wapate namba.

Watanzania wanaolipa kodi ni 10% sasa utuwie radhi kwa kuweka mitego mingi ili wanaoruka uwashike, mapungufu huwa yanakuwepo lakini Vipanga wanatumia % Zaidi ili kujua umefikia efficient kwa kiwango gani inawezekana kabisa isiwe 100% lakini ukipiga 85% ni A+ na unakuwa umetusua. Kwa hiyo JPM hatafuti 100% sie tuliomchagua hata akiscore 75% itakuwa poa na nyie wahafidhina mkibaki na 25% zinawatosha sana lakini siku zote zisiwazibe macho kutazama 100% walizopata wenzenu.
 
Upo sawa kuwa mfumo ni sheria lakin sheria zizopo tumeshindwa kusimamia leo hii unaweka sheria nyingine tutaweza kuzisimamia kweli. Leo wabunge wetu wengi wanajali maslahi yao wenye kwanza bila kujali wananchi waliowachagua, kutojali watoto wa majimboni kwano wanasoma chini ya miti au kukaa chini. Nilitegea kuona wabunge wanajitolea kutengeneza madawati na kuhasisha watu julitolea kuchangia vitanda mahospitaline. Lakini ukija uchangauzi wabunge ni wakwanza kutume email na msg kuomba mchango kwa ajili za kampeni zao.
Umesoma jujuu nilichoandika!, rudia tena kwa msisitizo kipengele cha wananchi kuwa Na uwezo wa kuwawajibisha wawakilishi wao, sheria unazosema tunashindwa kuzisimamia ni zipi?, sheria zilizopo zinawakingia kifua viongozi, wanageuka kuwa mabosi zetu, hawawajibiki kwa wananchi bali kwa vyama vyao, Ndio maana nimekutajia rasimu ya Warioba (inaondoa yote hayo kurudisha mamlaka ya nchi kuanzia kwa wananchi, labda Kama hukujishughulisha kujua ilichobeba), Na ndio maana CCM waliitosa, wakaleta yao (pendekezwa), ambayo kimsingi haina mashiko ya kitaasisi, Na ikipita kwa sababu ya uwingi wa mamburura+goli la mkono tutabakia kuishi kwa matumaini ya kijinga ya kila awamu kuombea Mungu atupe rais "Mwema Sana!". Baada ya hapo malalamiko Kama kawa Kama dawa!.
 
Kuna watu nchi hii kazi yao kulialia tu..
Elimu bure wanalia
Umeme umeshuka bei wanalia
Barabara ya mwenge Morocco imejengwa wanalia!
@ nyumbu Wa ufipa
Sukari imepanda bei wanacheka!, wanachuo waliodahiliwa Na serikali wanaitwa vilaza wanafukuzwa Na Jesca Na qualification tata anauhakika wa kupata degree wanacheka!, jipu la lugumi kizungumkuti wanacheka, Zanzibar demokrasia kubakwa hadharani wanacheka,@ LB-7!.
 
Back
Top Bottom