Hivi pesa ina uhusiano gani na kujiamini kwa mtu?

Eti hata mimi wa kike nikikosa huwa sina confidence ya kuongea kabisa.

Na kiasi ninachoongelea mimi ni atleast niwe na laki kwa mkoba wangu aisee.

Hii kitu ina nini lakini? yaani hela.
 
Kiasilia wewe ni mtu dhaifu, nina uhakika hata kitandani unahitaji booster!
Wenzako viwanja vyote tunacheza.
 
Kwa ambae anazishika kwa msimu, lazima akipata matako yalie mbwata... kwa ambae zipo tu na zinazidi kuwepo na kuongezeka, unakuwa huna shobo nazo...
 
Kwa hakika mimi uwa nikiwa na pesa nakuwa na mishe mishe nyingi sana, hata nikikutana na demu mkali nakuwa nipo katika kiwango cha juu kama mesi cha kutongoza.

Ninakuwa na hamu ya kukutana na ndugu, jamaa, na marafiki, ila bana nikiwa sina pesa nikimuona mwanamke namuogopa wala kumtongoza siwezi.

Sihangaiki kuwatafuta ndugu wala marafiki hata maclassmates wangu huwa nawakwepa sana sana wanawake uwa sipendi tukutane kabisa, yaani ninakuwa bonge la mpole hata mtu anaweza sema nimeokoka na sa hiyo hata church siendi ila bonge la mstarabu.

Hii tabia ni kwangu tu au na nyie mpo hivi?
Pesa kiwango gani unachozungumzia??? Maanake kuna watu kwenye account ikiwa pungufu ya tzs 100m anapata BP wakati mwingine akiwa na tzs 200,000 ndio confidence unayoizungumzia.
 
"
Kwa hakika mimi uwa nikiwa na pesa nakuwa na mishe mishe nyingi sana, hata nikikutana na demu mkali nakuwa nipo katika kiwango cha juu kama mesi cha kutongoza.

Ninakuwa na hamu ya kukutana na ndugu, jamaa, na marafiki, ila bana nikiwa sina pesa nikimuona mwanamke namuogopa wala kumtongoza siwezi.

Sihangaiki kuwatafuta ndugu wala marafiki hata maclassmates wangu huwa nawakwepa sana sana wanawake uwa sipendi tukutane kabisa, yaani ninakuwa bonge la mpole hata mtu anaweza sema nimeokoka na sa hiyo hata church siendi ila bonge la mstarabu.

Hii tabia ni kwangu tu au na nyie mpo hivi?
"...Maisha ni pesa epuka kutokuwa nayo ili kila siku uwe unajiamini"
 
Back
Top Bottom