Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,710
Fedha zulitumika kwenye kampeni chama kimepata mafanikio makubwa ambayo hatujawahi kupata ,tumepata wabunge 35.
Pamoja na mgombea wetu kuwa na kashfa ya ufisadi tulipata kura milioni 4 haya ni mafanikio makubwa sana.
Halafu hizo ela ulizochangia ni kidogo sana kina Rostam,Karamagi na mafisadi wengine waliomchangia mgombea wetu wa urais mabilioni wao wasemeje kama wewe unalalamikia kamchango kako kasichozidi elfu 2.