Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

Naamini Mbinguni ni kama huku dunia kwa vitu vingi kama majengo,bahari,vyakula na uwepo wa wanyama wa aina mbalimbali.Tofauti ni kwamba vitu vya uko vitakuwa vizuri na bora kuliko huku,kama ambavyo makazi ya nchi tajiri yalivyo bora kuliko makazi ya nchi maskini.
Mafundisho ya kuwa Mbinguni tutakuwa tukiabudu na kumsifu Mungu milele na milele ni mafundisho ya kipumbavu na lengo ni kuwafanya watu wapaone Mbinguni kuwa ni sehemu inayoboa sana.
Labda nikuulize Yesu aliposema anaenda kuwaandalia makazi watu wake unafikiri anaongelea makanisa na mahekalu?
Makazi au makao ,,,,, aaah! Biblia nikitabu pekee dunian ambacho watu husoma ukurasa mmoja wote kisha majibu hujatofautu au tuseme utambuzi. Me naamin ulivyo sema kwasababu baaada ya kuacha raha na starehe zote za ulimwengu je fraha yako itakua nnin baadae?. Ila me hua natafakari pande zote so mekwelewa sina swali lingine hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom