cesilia
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,233
- 1,246
hizo alama zikoje mkuuuuKuna jamaa alimegewa ila akawa haamini,akamkomalia mke wake achuchumae,mwanamke alipochuchuma jamaa akachungulia na kuona alama za tayari ishatafunwa alianza kushusha fimbo kama anaua nyoka.