Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,879
36,670
Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti.

Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu.

Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa nimepoteza muda wao ambao wangeutumia kuwapiga wajinga wengine.

Hawa matapeli wakubwa wengi wao ni Wakenya na Wanaijeria.

Screenshot_20240329-220624.jpg
Screenshot_20240329-220630.jpg
Screenshot_20240329-220636.jpg
Screenshot_20240329-220640.jpg
Screenshot_20240329-220644.jpg
Screenshot_20240329-220649.jpg
Screenshot_20240329-220656.jpg
Screenshot_20240329-220707.jpg
Screenshot_20240329-220712.jpg
Screenshot_20240329-220716.jpg
Screenshot_20240329-220727.jpg
Screenshot_20240329-220732.jpg
Screenshot_20240329-220735.jpg
Screenshot_20240329-220735.jpg

Baada ya kuona tayari anakaribia kupiga pesa akabadili mawasiliano ili ajifanye ni mtu mwingine wa Airport.
Screenshot_20240329-220542.jpg
Screenshot_20240329-220538.jpg
Screenshot_20240329-220528.jpg
 
Wewe mwenyewe ni wale wale tu, mtu mpaka dunia ya leo unatoa wapi muda wa kuchat huo upuuzi na matapeli jifunze kupotezea mkuu sio lazima kujibu kila mtu
 
Back
Top Bottom