Hamna ili tujue sasa tunaanzia wapi 😄Sasa unataka nifukuzwe kabisa na kazi eeh .
Huenda mamlaka zinabana kidogo matumizi ila baadae zitaachia tu.Hahahaa kusema jau ila hizi zilizochini ya Wizara.
Yeah najua. Umepata ya miyeyusho. Huku ndiyo kwa kula urefu wa kamba yako. Mishahara ya laana, kuandikia madokezo ya kazi hewa 🤐 Tz shamba la bibi, unafail wapi?Hahahaa kusema jau ila hizi zilizochini ya Wizara.
Mtu wa nje akisikia kazi yangu anajua mi nimetusua. Chini ya kapeti najua mimi aisee.Yeah najua. Umepata ya miyeyusho. Huku ndiyo kwa kula urefu wa kamba yako. Mishahara ya laana, kuandikia madokezo ya kazi hewa 🤐 Tz shamba la bibi, unafail wapi?
Vumilia tuu najua unataka kuvuta EV kabla huu mwaka kuisha 😄Mumpigie boss eeh
Huenda kweli umetusua ila matumizi yako ndio yanafanya uone maokoto madogo.Mtu wa nje akisikia kazi yangu anajua mi nimetusua. Chini ya kapeti najua mimi aisee.
Huu mwaka nalipa tu kodi, nakula, navaa basi.. Ata kujispoil kwenda nje ya Dar imeshindikana, sio kikazi sio kupumzisha Medulla.Vumilia tuu najua unataka kuvuta EV kabla huu mwaka kuisha 😄