Hivi ni sahihi kwa hakimu wa wilaya kutumia gari la mahakama kwenda kuwindia?

Kwa hasira yako hii, inaonesha kuwa huyu hakimu alikuumiza sehemu nyeti sana. Pole sana kwa maumivu. Kumbuka, huyu mtu ana familia inayo mtegemea mkuu. Akifukuzwa, nadhani unamlia timing mke wake au yule bint yake mkubwa.
 
Mtu akija kwako na kwa maneno yake akakwambia yeye ni TISS mkamate umtandike makofi mengi tu kwakuwa huyo ni muongo!
 
Awali ya yote nipende kumpongeza mheshimiwa raisi Magufuli makamu wake Na waziri Mkuu mh Majaliwa kwa jitihada zao za dhati kwenye sakata la makontena ya mchanga.Kwa wazir mwenye dhamana Wa wizara ya sheria kuna hakimu hapa wilayani korogwe Jina lake Mkwawa ambaye ni hakimu Wa wilaya ya korogwe ambaye hutumia gari la mahakama usiku kwenda kuwindia wanyama.Gari aina ya Landcrusar s/wagon huitumia pia kama pickup kwa ajili ya kubebea matofali Na mchanga kwenye shughuli zake za ujenzi wa nyumba.Mbaya zaidi amelitia hasara taifa kwa kutumia gari double cabin Toyota hilux 4D brand new yenye thamani ya Karib 100m tzsh kwenda kuwindia Na kupata ajali Na gari kua right off.Hili gari lilipata ajali usiku tena msituni.Na matengenezo yake yanahitaji zaidi ya sh mil 40 Na Dereva ambaye alikua anamuendesha sio muajiriwa wa mahakama kamuokota mtaani.Wakati hospitali yetu ya wilaya ikikosa hata panadol Huyu mheshimiwa Mkwawa anasema yy ni untouchable hata sisi watumishi wenzie tunamuogopa anasema yy ni TISS.Naomba ofisi yako ifanyie Kaz taarifa hizi ili tuokoe pesa ya walipa kodi.
Nawakilisha
Katika Nchi inayofuata na kuzingatia Utawala wa Sheria. Hakuna anayepaswa kuwa juu ya Sheria i.e (No one is above the Law/ All people are equal before the Law). Ikiwa haya uliyoandika ni ya kweli, basi yafaa Mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki dhidi ya Mtumishi huyu.
 
Ninachojua na nilichosikia kuhusu huyu hakimu Mkwawa wa Korogwe ni kuwa kesi ikishafika mezani kwake hizo hela zako za kuhonga ni bora ukafugie nguruwe....watu wengi wazembe wa sheria wameshachezea mvua,sasa kwa tuhuma hizo ni bora ungezisindikiza na namba ya gari iliyopata ajali,ushahidi wa picha kidogo ili kuleta uhalisia wa hizo tuhuma.HAPA KAZI TU
 
Awali ya yote nipende kumpongeza mheshimiwa raisi Magufuli makamu wake Na waziri Mkuu mh Majaliwa kwa jitihada zao za dhati kwenye sakata la makontena ya mchanga.Kwa wazir mwenye dhamana Wa wizara ya sheria kuna hakimu hapa wilayani korogwe Jina lake Mkwawa ambaye ni hakimu Wa wilaya ya korogwe ambaye hutumia gari la mahakama usiku kwenda kuwindia wanyama.Gari aina ya Landcrusar s/wagon huitumia pia kama pickup kwa ajili ya kubebea matofali Na mchanga kwenye shughuli zake za ujenzi wa nyumba.Mbaya zaidi amelitia hasara taifa kwa kutumia gari double cabin Toyota hilux 4D brand new yenye thamani ya Karib 100m tzsh kwenda kuwindia Na kupata ajali Na gari kua right off.Hili gari lilipata ajali usiku tena msituni.Na matengenezo yake yanahitaji zaidi ya sh mil 40 Na Dereva ambaye alikua anamuendesha sio muajiriwa wa mahakama kamuokota mtaani.Wakati hospitali yetu ya wilaya ikikosa hata panadol Huyu mheshimiwa Mkwawa anasema yy ni untouchable hata sisi watumishi wenzie tunamuogopa anasema yy ni TISS.Naomba ofisi yako ifanyie Kaz taarifa hizi ili tuokoe pesa ya walipa kodi.
Nawakilisha

Weka picha
 
Picha zinakuja za kutosha za gar likiwa porin kwenye kuwinda. Gar lililo pata ajali limekaa sana polis
 
Sasa hv Lipo garage Na gharama zake ndio kama nilivyoeleza hapo juu
 
Back
Top Bottom