Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,705
- Thread starter
- #61
Soma vizuri ulichokiandika ukiona bado unahisi ni sahihi naomba ulale tu inawezekana akili yako imechoka haifanyi kazi kisha amka tena usome ukiona bado unakiona sahihi then kama si elimu .....basi tatizo ni malezi au ni ubongo wako kuna misumali imelegea........jaribu tu kuwa makini usije ukaongea mambo ya ajabu mbele za wakwe zako siku za usoniKumbe Clouds ni TV ya Taifa,,, ohooo aya endelea kuandaa makala, ila ukijakumbuka kuwa TV sio moja sijui utaiangalia vipi hii makala hewa yako maana jinsi inavyokuvua nguo cjui tu