Yes INDEED
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 304
- 622
Acha zako wwIla hata mimi wakitambo nilishapoteza ac mbili ya kwanza ilikuwa mwaka 2007/2007 hv
Acha zako wwIla hata mimi wakitambo nilishapoteza ac mbili ya kwanza ilikuwa mwaka 2007/2007 hv
Hutaki ni wewwAcha zako ww
Duuh 2007 long sana nilikuwa vidudu kabisa 😊Hutaki ni weww
🤣🤣🤣🤣 Wee,sema kweli?Mimi hapa Mwanamke mkongwe
Ni sawa na umri tu..Wengine watakuwa na 25 huku mkuu hutotisha
Kwani wewe una Miaka mingapi?Ni sawa na umri tu..
Mwenye miaka 18 ni mkubwa na mwenye miaka 25 ni mkubwa pia
Hatupo active kwani vipi?unataka kutupa zawadi nini?
20 mkuuKwani wewe una Miaka mingapi?
we mtoto kua na adabuDuuh sio powa aisee hii blog Mods wakicheza karata zao fresh kumbe inaweza kutoboaa zaidi eh 🙄
Kweli tena,Wee,sema kweli?
Ila bibi unapotea potea Sana nachelea kusema kuwa wewe ni active member.Nilianza kabla haijawa Jamii Forums, nilianza na Jambo Forums 2007.
🤣🤣🙌Kweli tena,
Mkongwe kama Mkongwe