Hivi ni kweli kina dada mnakuaga na true love kwa mume wa mtu?

unajidanganya ndugu utaumia Bure kufikiria kumsugua mwanamke ndiyo point ya kupendwa wengine hata husugui akikuona kwa mbali kashaloa chini mapema mwingine ata usugue vp hakojoi mapenz ni hisia ww kusugua si kigezo
Kwa hiyo akishalowa ndo kakojoa hivo,
 
Huwa nayaona haya kwa watu ninaowafahamu kwa karibu na kuyasoma pia kwenye magazeti mbali mbali. Na unaweza kumshauri mtu kwamba mchepuko haufai bora abaki njia kuu lakini unajua tena moyo na akili vikishakuwa kwenye page moja ni vigumu sana kumbadilisha mtu kwa kile akitakacho mwisho unaamua kunyoosha mikono juu na baada ya muda si mrefu jamaa anakwambia anaoa mchepuko.

Hii ishawahi kukutokea, Mkuu?.
 
Swali la msingi ni Je, wewe Mme wa MTU unampenda kweli mwanamke asiekua mke wako?

Inatakiwa tutofautishe kupenda na kutamani. Wengine wameingia kwenye ndoa na watu wasiowapenda ila mazingira yalilazimisha, wengine wameingia kwenye ndoa kwa kutamani, na hauwezi kupenda MTU mmoja tu hapa duniani, cha msingi ni kuelewa mipaka na status yako, kuoa au kuolewa haiondoi hitaji la kibinadamu la kupenda ila haimaanishi ufanye chochote na yeyote kwa kisingizio cha kumpenda.
 
Back
Top Bottom