Hivi ni kwanini wanawake wengi hujivunia sana makalio yao?

kwangu mm mwanamke mwenye makalio anipitie pemben.wanawake wenye makalio ni wa kufanyia playoff.I cant offer more than tht bcz it is an ambaresment to me.
Huna lolote, hapa unajishaua ukiyaona hko barbaran yanapita shingo inataka kuvunjika
2B5799EE00000578-3197001-image-a-4_1439498071552.jpg
 
Huna lolote, hapa unajishaua Uko usona blocks barbaran yanapita svingo Unataka kuvunjika
yeah m huwa naangalia tu napenda kuangalia tu.its not true kuwa wanaume tunapenda makalio kweli but tunataman tu kuyatumia for a short term.M huwa nataman but cpend makalio na siwez kuwa kwenye serious relationship na dem mwenye 4G.
mwanamke anatakiwa awe na makalio ya wastan.
 
Kwa taarifa yako
Wanawake hawajivunii makalio hata kidogo BALI ni Wanaume wanapenda sana makalio hivyo wanawake wanashawishika wayaanike vizuri ili wanaume wayaone.

ni sawa na bidhaa sokoni, Kama wateja wanahitaji ndizi, mwenye nazo siku hiyo sokoni ndiye ata uza kwa wingi na wale wenye bidhaa nyingine kama mihogo nk watabaki kuwauzia wateja mmoja moja. Ila sio kweli kwamba siku zote wateja sokoni watakuwa wa mahitaji ya ndizi tu. kwani kuna wateja wanawazia vitu nya ziada ambavyo ni muhimu kwao kama lishe, ladha, urahisi wa kupika nk hivyo wataishia kununua bidhaa tofauti kama viazi lishe, nk

Wanaume wakibadilika na kutambua kuwa, makalio nafasi yake ni kidogo au haipo pale linapokuja suala la kujenga familia.. bei yake itashuka sokoni na huta yaona tena yakianikwa.....
 
Hata mimi ningekua mwanaume nisingedate mwanamke asie kua na tako. Tako ukiacha kutokua na kazi yoyote kwenye mwili huwa ni kivutio. Weka nguo halafu avae mwenye tako na asie na tako uone nani atapendeza zaidi hata kama mwenye tako ana sura ya mjomba ake bado atavutia tu. Usilete mchezo na tako mkuu na mie najivunia langu.
 
Hata mimi ningekua mwanaume nisingedate mwanamke asie kua na tako. Tako ukiacha kutokua na kazi yoyote kwenye mwili huwa ni kivutio. Weka nguo halafu avae mwenye tako na asie na tako uone nani atapendeza zaidi hata kama mwenye tako ana sura ya mjomba ake bado atavutia tu. Usilete mchezo na tako mkuu na mie najivunia langu.
Acha kabxa!!!

Tako ndio msingi wa Ndoa,
Huwa tunashindwa tu Kuwambia ukweli
 
Ngoja nikupe jibu...Sura zimeshazeeka zimebaki vipodozi,makalio hata km yana ukurutu si wanakuwa wameyafunika! kama wanajiamini wayabinue wakiwa naked...Mi nayaona km kipande cha mkakasi tu.
 
Wanawake mna furahisha sana, juzi bahati nzuri nilifanikiwa kudadisi simu ya dada fulani hivi baada ya kumwomba. Hali ni mbaya, 5 apps zilukua za waist slimming hapo nikatambua siri ya mafanikio kwakweli shape analo especially kiuno. Usione vyaelea vimeumbwa.

Personally sipendi wanawake wenye "tako/inye/et el" kila kitu kiwe cha kiasi. Mwanamke awe na umbo la kianamke sio jini. Nyonga ziwe zimetanuka ili asijepata tabu wakati wa kujifungua, sura asifanane na mjomba wangu, mikono isiwe ya mpasua kokoto.
 
Wanaume ndiyo wanafanya wanawake waringe maana mwanamke mwenye makalio akiwa anatembea njiani wanaume wengi watakula kwa macho hata kama yupo yupo na demu wake.
 
Back
Top Bottom