Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 26,517
- 63,982
Kwema Wakuu!
Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja.
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.
Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.
Licha ya kuwa wachanaji.
Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.
Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.
Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?
Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.
Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.
Wapo Romantic na mvuto WA kingono.
Huku bongo nini kimetokea?
Nawasubiri