DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,381
- 29,628
Ipi hiyo mkuuMwenyekiti wa Sisi- EMU naye akapimwe damu!
Kuna madai kuwa anavuta ile kitu ya Ara!
Ipi hiyo mkuuMwenyekiti wa Sisi- EMU naye akapimwe damu!
Kuna madai kuwa anavuta ile kitu ya Ara!
Kenyatta ni Rais bora East Africa, jamaa kajaliwa hekima na Mungu.Rais kenyata wa kenya unamfahamu?anaongoza nchi kwa ufanisi wa hali ya juu
acheni uongo nyie?ufanisi UPI?madaktari na manesi mwezi WA tatu huu wamegoma kwa kudai maslahi..Zaidi ya mamia ya RAIA wanakufa kwa kukosa kwa kukosa Huduma..Kenyatta ni Rais bora East Africa, jamaa kajaliwa hekima na Mungu.
Ijumaa, Jmosi , J2. Lazima ajifiche angekaa lupango Kesho J3 atajitokezaMijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.