Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,181
- 1,426
K
Kwahiyo yeye kauli ya 'natoka jasho ili watoto wangu waenda chooni' haipo akilini mwake hao wanyonge anaotaka kuwasaidia atawasaidia kwa lipiKuendeleza kulialia kumtaka rais aombe radhi ni ukilaza maradufu, kutomwelewa magufuli kwa kauli zake ni ukilaza pia, huyo ndivyo alivyo na ndo maisha yake! Nakumbuka kipindi siku wanafunzi wanafunga shule pale alipokuwa anasoma jesca mwanae, jamaa alimpa buku akachukua mizigo yake akaweka kwenye gari akamuacha ili mtoto apande daladala! Unadhani anamtetea mwanae? Huo ndio ukilaza wa vijana mlio wengi!