Hivi ndivyo nilivyomuelewa Rais Magufuli, siyo huu upotoshaji wa makusudi kuhusu ujenzi wa reli

Nashite unahangaika naye wa nini wakat Mwenyekiti wako wa Chama mbali na kusemekana alifeli form four lakini hata shule yeneyewe aliyopatia hiyo sifuri haijulikani
Teh teh teh! naamini angejitokeza kujibu tuhuma zake za vyeti,basi yule waziri asingetumbuliwa.
 
Apo iposhida kamaalikataa mkopokwawachina ambaoni nduguzetu anataka mkopo kutoka Brazil na India ambao sio watuwakaribukwetu
 
Hali hiyo mnayoita ya uzushi inachangiwa na serekali kutokusema ukweli kwenye mambo yake mengi. Huwezi kuwalaumu wananchi kuzusha kisha ukaiacha serekali inayotoa habari nyingi zisizo na ukweli.
Lini na wapi serikali ilisema imeomba mkopo Uturuki, Morocco, Marekani na Umoja wa Ulaya kwa ajili ya ujunzi wa reli? Awamu hii mmeshikwa matokeo yake mmrbaki kuteleza teleza kama Nyani anayekufa.
 
Nyie wapumbavu CCM why mmetuletea omba omba n jitu lisilojua lugha ya kingereza kwa ufasaha mnatudharirisha tuliopo nje ya nchi wajinga nyie hamkufanya Vetting?
Mangi mla mbege na ndumu mbona unatukana sana, umetumbuliwa vyeti vya kuchonga ?
 
Kwahiyo una muwekea mdomoni maneno ambayo hajayasema..watu wote tunasikiliza kile ambacho huwa anakiongea kwa ujasiri mkubwa kuwa Tanzania tunaweza sisi wenyewe bila vibaraka wa nje iweje wewe unapingana nae kuwa kuna uzushi unaenezwa mitandaoni? Kwani ni uongo kuwa Magufuli jana kamuangukia Zuma amtafutie wafashili wenye masharti nafuu akiwemo China mwenyewe ambae alimkataa kumpa tenda kwenye huo mradi
 
Back
Top Bottom