Hivi ndivyo ambavyo gari lako linaweza kukupa hasara

Karibuni mjipatie alarm na tracking system bora zaidi tanzania. Hivi karibuni nitatangaza ofa kwa ajili ya vifaa vya usalama majumbani, maofisini na tracking system . Nipigie 0714890018 kwa maelezo zaidi
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
Kifaa kinaweza kuwekwa kwenye bajaj na pikipiki , hata chombo chochote cha usafiri na kikaweza kufanya kazi bila tatizo.
Mkuu mimi nataka kifaa kwa ajili ya kufunga kwenye bajaji. Je vifaa vina waranty? Je unaweza kwenda kufunga mikoani? Tafadhali nielezee.
 
Mkuu mimi nataka kifaa kwa ajili ya kufunga kwenye bajaji. Je vifaa vina waranty? Je unaweza kwenda kufunga mikoani? Tafadhali nielezee.
Nitakupatia waranty ya mwaka mzima , mikoani tunafika pia , tuwasiliane kupitia simu tuone jinsi ya kufanya kazi kwenye mkoa ulipo
 
njia ambayo inaweza sababisha kuibiwa kiulaini ni ukosefu wa mtandao , sasa ni mpaka mtu ajue jinsi ya kuzuia mtandao usiwepo eneo hilo hapo ndio ataweza kuiba lakini pia aweze kuzuia kingola au siren isitoe sauti , vinginevyo kifaa ni madhubuti . kuhusu swala la lege siwezi kujibu sababu tu itakuwa rahisi kwa muhalifu kujua kifaa kilipo na kukichezea , lakini kwa kifaa kingine sio rahisi hata nikitoa maelezo sababu naweza kuweka sehemu yoyote katika gari.
1.Kwa hiyo kifaa hiki kinafaa mjini kwenye mtandao na sio vijijini.
2.Nikiwahitaji mkoani nani analipia gharama za usafiri n.k
 
1.Kwa hiyo kifaa hiki kinafaa mjini kwenye mtandao na sio vijijini.
2.Nikiwahitaji mkoani nani analipia gharama za usafiri n.k

1. kifaa hiki kwa mjini na wa vijijini kote kinawafaa , mara nyingi huwa tunaangalia ni eneo gani linaenda kufanya kazi na kuangalia ni mtandao gani utafanya kazi vizuri hapo , tuseme tumefunga kwenye tractor na limeenda kulima sehemu ambayo haina network kwa muda wa wiki nzima basi, siku network ikirudi au ikipatikana taarifa zitajiupdate zote kwa kadiri chombo kilivyokuwa kinatumika .

2. kwa wa mikoani kama una magari mengi au project ni kubwa au ni mkoa wa karibu na dar es salaam basi tutakuja kukufungia bure , vinginevyo itabidi ugaramikie nauli.
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems

    tupigie 0677178169 , email: info@isecure.co.tz
 
    tupigie 0710141917 / 0710151301 email: info@isecure.co.tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom