Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Lisu ,Mbowe, mnyika walitangaza mwembeyanga mchana kweupe kuwa lowasa ni fisadi na ushahidi wanao.We uloyejaa majungu na ushabiki wa kuchumia tumbo ndo unamuongelea in a negative way...
Anayemnanga mamvi na upinzani haitakii mema hii nchi..
Mamvi ameaambia aliye na evidence za ufisadi wake ampeleke mahakamani, ; nyie mnakaa kuongea pembeni kimajungumajungu.. Achen chip politics__mamvi atawatesa sana..
Kwa hiyo sisi tunafuata maono ya kina Lisu