Hivi mshkaji/ kaka/ mkuu sana akionaga hii Picha huwa anajisikiaje?

Hayo ni mapito tu leo hii sio jana.

Anatamkwa muda wote ana msafara ana ulinzi.
Ulinzi ni wa kutoka kwa MWENYE ENZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO KUYAFANYA MAISHA YAWEPO,vingine vyote mbwembwe tu.
 
Maisha ni safari, yupo ajuae siri ya safari ya kila mtu na ni Mungu! Jamaa hakujua labda siku moja atakuwa yeye, ila Mungu alijua.
 
Uoga wako ndiyo umasikini wako kaa karibu na waridi unukie waridi leo jamaa akiona hii picha lazima aseme maisha safari ndefu
 
Kamtumikia kafiri hatimae kapata yake Mali.

Kila mtu anayosiri ya mafanikio yake. Mwacheni ajidai
 
2babadc48475d966bda8aa2934ead1b5.jpg

Haha "wakuja" mwenye mkoa wake
 
Mungu wenu huko Dar huyo, katoka Kolomije Missungwi amepaa juu na sasa atawahamisha jijini mkiwa na kandambili tu
 
Back
Top Bottom